Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Wana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) .

Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto.

Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga.

Mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka.

Binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.
 
Mkuu habari za asubuhi, kiukweli habari kama hii bila ushahidi wa picha haijakamilika bado.

Jitahidi upate japo tupicha tuwili tutatu hivi itakuwa powa sana.
 
hata bila picha, huo ndio uwezo na mamlala ya Yesu Kristo aliowaacha wanadamu wote watakaomwamini. mambo hayo yanawezekana kabsa kwa Mungu Na Kwake Aaminiye. Izo Ndizo Faida Za Wokovu.

Sasa Ni Wkt Wako Wewe Kijana, Na Binti Kuingia Ndani Ya Familia Ya Bwana Yesu, Ili Tukiwa Wengi Tuone Hao Wachawi Watakaa Wapi.

Kwa Ushauri, Maombezi Au Unataka Kuokoka. Piga Cm 0786100772, 0673100772, 0757856336.
 
Biashara tena Mkuu? Yesu alikuwa Mwalimu na mwanafalsafa, mengine mnamsingizia...
 
Wana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto,Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga,mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka,binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.

Sasa kama huyo mchawi ni msichana choo cha kike kina ubaya gani. Binadam bwana. Mnatumia maneno bila kuelewa maana yake. Km angekua mchawi mwanaume ukasema kaingia choo cha kike ndo ingeleta maana ya story yako
 
Force kingi mkuu tupe picha. Mtendaji atawezaje kukuzuia kamanda??

Tambua kwamba kuna giza,halafu yule mchawi alikuwa bado uchi hakuwa kapewa nguo,pia ili kupiga picha ilitakiwa lazima niwashe tochi ya simu,sasa ktk mazingira kama hayo isingewezekana mkuu ndo maana mtendaji aliposema msipige picha yupo uchi hata ya kuibia ilikuwa kazi ngumu pia.
 
Wana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto,Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga,mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka,binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.
Kudadeki Mkuu Ciprofloxacin Hadithi ya kutunga hii hatuwezi kuiaminimpaka upige pichatupate kuziona
 
Last edited by a moderator:
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii

Mkuu tukio limetokea saa 9,kwa huku mkoani bado giza nene hadi saa 12 ni giza nene,tofauti na dar ambako saa 10 alfajiri unaanza kuona mwanga huku hakuna,ili kupiga picha lazima uwamulike watu kwa tochi jambo ambalo ni gumu.
 
Mkuu habari za asubuhi, kiukweli habari kama hii bila ushahidi wa picha haijakamilika bado.

Jitahidi upate japo tupicha tuwili tutatu hivi itakuwa powa sana.

Mazingira hayakuwa rahisi mkuu kutokana na giza la mkoani huku,fikiria hata wewe,utapataje picha nzuri kutumia simu wakati kuna giza mkuu? Nilijaribu kuwasha tochi ili nipate hata moja mtendaji akanichimba mkwara
 
Fiksi hizi, mlokole nae amepikwa...

Pole sana ndugu yangu! Naona hujui nguvu na mamlaka ya jina la Yesu,hilo jina ni mziki mnene,mapepo,wachawi ukilitaja tu wanaungua vibaya,usiandikie mate na wino upo,hebu jaribu uje uone!
 
Back
Top Bottom