Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

hata bila picha, huo ndio uwezo na mamlala ya Yesu Kristo aliowaacha wanadamu wote watakaomwamini. mambo hayo yanawezekana kabsa kwa Mungu Na Kwake Aaminiye. Izo Ndizo Faida Za Wokovu.

Sasa Ni Wkt Wako Wewe Kijana, Na Binti Kuingia Ndani Ya Familia Ya Bwana Yesu, Ili Tukiwa Wengi Tuone Hao Wachawi Watakaa Wapi.

Kwa Ushauri, Maombezi Au Unataka Kuokoka. Piga Cm 0786100772, 0673100772, 0757856336.

Kekundu kekunduuu, kekunduuuuuuu...acha utapeli wewe
 
Kachawi under 20 sipatii picha hizo Chuchu kudadadeki zake.

Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.
 
hata bila picha, huo ndio uwezo na mamlala ya Yesu Kristo aliowaacha wanadamu wote watakaomwamini. mambo hayo yanawezekana kabsa kwa Mungu Na Kwake Aaminiye. Izo Ndizo Faida Za Wokovu.

Sasa Ni Wkt Wako Wewe Kijana, Na Binti Kuingia Ndani Ya Familia Ya Bwana Yesu, Ili Tukiwa Wengi Tuone Hao Wachawi Watakaa Wapi.

Kwa Ushauri, Maombezi Au Unataka Kuokoka. Piga Cm 0786100772, 0673100772, 0757856336.

Haleluyaaa!

Jina la Yesu Kristo na Damu yake ni zaidi ya ulinzi kwa wote wamwaminio!
 
Kudadeki Mkuu Ciprofloxacin Hadithi ya kutunga hii hatuwezi kuiaminimpaka upige pichatupate kuziona

Mkuu mzizimkavu niamini ni kweli kabisa,siwezi kuacha usingizi mtamu wa alfajiri ili kuleta stori ya kizushi,mazingira ya kupata picha yalikuwa magumu sana,ukitoa mtendaji,giza lilichangia,kungekuwa na mwanga ningepiga bila mtu kujua.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu! Naona hujui nguvu na mamlaka ya jina la Yesu,hilo jina ni mziki mnene,mapepo,wachawi ukilitaja tu wanaungua vibaya,usiandikie mate na wino upo,hebu jaribu uje uone!

Mkuu, ni vigumu kumsadikisha mtu asiyeamini.

Mwanadamu ambaye siyo shetani au mapepo/jini au mchawi ni vigumu kujua mamlaka na nguvu ya jina la Yesu.

Ila shetani, mapepo/jini, wachawi wanajua hatari ya kukutana na Yesu au binadamu aliye na Yesu!
 
Naona watu wamekalili kila mchawi anayeenda kuwanga lazima awe uchi hamjui kama siku hizi ktk ulimwengu huo mambo yamebadilika ila kiujumla hiyo story inaonekana ni ya uongo kwani si kila mchawi anapaka kiapo yani huo unga mweusi unaousema ila kwa vile kila story ya mchawi lazima upate neno kuwa alikuwa uchi au alipaka masizi ambao ktk ulimwengu wa uchawi tunaita kiapo nawe umeona utuletee hiyo hadithi
 
Haya mambo siku hizi hayaeleweki. Usije kuta huyo mlokole amesuka game hapo siku mbili tatu anaanzisha kanisa. Mara milionea. Yaani siku hizi kila kitu fix
 
Mtu mmoja juzi kati alisema; Usipoweza kumtetea Mtume wako hufai. Miye nataka nimtetee Mtume wangu, Yesu Kristo. Jamani, chezeni na kila neno, chezeni na kila Jina, ila hili jina la Yesu Kristo. Kiacheni likae lenyewe. Halina haja ya kutamkwa jata katika upuuzi.
Ulipoandika tu ati; Mlokole alikuwa ameuzungushia sijui damu ya Yesu nyumba.... nkajua tiyari hii ni fix. Damu ya Yesu haikumwagika pale msalabani Kalvari ili kuzingirishia nyumba. Ntakukatalia mpaka ukataliwe. Haiko hivyo. Damu ilimwagika ili kuniosha dhambi zangu na kukuosha weye dhambi zako. Ilitulipia deni yetu ya dhambi. Haikutununulia mabati au nyasi za kujengea TAFADHALI. Tafuta fix nyingine. Ndo maana walipokuambia lete angalao KAPICHA tu. Ukakosa kwa kuwa hizi ni fix. Tumia jina la mjombako yule mganga wa kienyeji, manyaunyau na dawa yake ya unga anatosha kushika hao waganga, wala si DAMU YA YESU.
 
Pole sana ndugu yangu! Naona hujui nguvu na mamlaka ya jina la Yesu,hilo jina ni mziki mnene,mapepo,wachawi ukilitaja tu wanaungua vibaya,usiandikie mate na wino upo,hebu jaribu uje uone!

Yesu Mayahudi yalimsulibisha bure, hana hizo nguvu... Yesu ni Kisasili!
 
Back
Top Bottom