itv
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 333
- 63
pouwa nambie mpendwa
Me love u, avatar imenizuzua
Ila mbona umeibadil ukaweka hilo jitu,
pouwa nambie mpendwa
Kachawi under 20 sipatii picha hizo Chuchu kudadadeki zake.
Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.
....hako kaogesheni mkapige mtungo hadi jicho!
Hivi huyu ni ndugu na Papaa Msoffe?
Ndio,
Status:married
Ha ha ha, story inasema mchawi ni under 25, Bujibuji akasema eti ni under 20. Hapo nilikuwa namkumbusha tu.
Ila mdau katunyima utam wa story kwa kutopiga picha
Me love u, avatar imenizuzua
Ila mbona umeibadil ukaweka hilo jitu,
Hakuna kitu kama hicho ukiamini kivyako mimi sitokulazimisha kitu.Mwenzako nimeamini 100% wala sina haja na picha kwasababu najua nguvu ya damu ya Yesu ni kubwa kuliko nguvu za wacawi na vigagula.
Me love u, avatar imenizuzua
Ila mbona umeibadil ukaweka hilo jitu,
haya nakuwekea nilijuwa lazima upende miwani
Mbona hata yako mbayaa
Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.
Asanthe, umependeza kweli,
Natamani nikuone mpendwa,
Mtu mmoja juzi kati alisema; Usipoweza kumtetea Mtume wako hufai. Miye nataka nimtetee Mtume wangu, Yesu Kristo. Jamani, chezeni na kila neno, chezeni na kila Jina, ila hili jina la Yesu Kristo. Kiacheni likae lenyewe. Halina haja ya kutamkwa jata katika upuuzi.
Ulipoandika tu ati; Mlokole alikuwa ameuzungushia sijui damu ya Yesu nyumba.... nkajua tiyari hii ni fix. Damu ya Yesu haikumwagika pale msalabani Kalvari ili kuzingirishia nyumba. Ntakukatalia mpaka ukataliwe. Haiko hivyo. Damu ilimwagika ili kuniosha dhambi zangu na kukuosha weye dhambi zako. Ilitulipia deni yetu ya dhambi. Haikutununulia mabati au nyasi za kujengea TAFADHALI. Tafuta fix nyingine. Ndo maana walipokuambia lete angalao KAPICHA tu. Ukakosa kwa kuwa hizi ni fix. Tumia jina la mjombako yule mganga wa kienyeji, manyaunyau na dawa yake ya unga anatosha kushika hao waganga, wala si DAMU YA YESU.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂