Mchango wa Halima Mdee kuijenga Chadema ni sawa na Wajumbe wote waliobaki Chadema ukimtoa Mbowe

Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Hivi hamchoki kutabiri kifo cha Chadema? Musa aliwatoa waisraeli Misri lakini hakugusa nchi ya ahadi. Pamoja na mchango wake mkubwa, kiburi chake ndicho kilimfanya asifike nchi ya ahadi. Hivyo kwa wakina Halima na wenzake.
Kwa nyie mnaosifia umahiri wake tuelezeni huo umahiri ameuonyesha kwenye ishu gani toka Ndugai amuingize Bungeni? Yeye na wenzake, wamewatetea vipi wananchi wao? Mimi nilichokiona ni pathetic sight ya wao kubezwa na kupuuzwa na vijana wadogo wa CCM.
Ukweli ni kuwa nje ya Chadema hawafurukuti kokote. Wamekuwa waganga njaa tu.

Amandla....
 
Mdee na wenzake wangeibuka washindi Kama magufuli angekuwepo na job angekuwa spika. Ila kwa Sasa kwishaa habari yao. Unajua mbowe na Rais samia wameongea nini?
 
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
AKAUCHUKUE HUO MCHANGO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mawazo ambayo kuna siku moja nilikuwa tuna bishana na wanachadema huku mtaani kwetu, niliuliza hivi!!

Kipindi Mbowe alipopigwa ndani kipindi kile cha JPM, mwanamke pekee chadema Aliyehamasisha waende mpaka Segerea kumfuata Mbowe ama wakafungwe wote, alikuwa ni mdee

Walio enda kuanzisha Fujo pale segerea kipindi kina Msigwa wanatoka kwa kuchangiwa kwa fedha za wananchi, mwanzilishi mkuu wa kazia hiyo, alikuwa ni mzee!

Angalia kipindi wametofautiana tuu na chama, Mbowe akaswekwa ndani miezi sita, kuna mwana sissa Nani ambaye alikuwa tayari ama kwa Shari ili tu Mbowe atolewe, ni mwanamke Nani aliyehamasisha watu au kuandamana kupinga Mbowe kuwekwa sero, ama ni mwanasiasa Nani hapo chadema ambaye angeweza kuhamasisha hilo kama si Mdee peke yake?.

Tukubali ama tukatae, Mdee ni mwanasiasa kidume asiyeogopa hata maisha yake mwenyewe, alikuwa tayari kwa lolote lile ili tu chadema iwe kinara!

Huyu dada Mimi nampigia saluti!

Kuondoka chadema kwa mdee, sio tu pigo kwa chadema, Bali pia kwa viongozi wake na wanachema kwa ujumla!

Huyu dada siku akiwa Rais, si wa mchezo mchezo kwa kile anachokiamini, anakisimamia na haogopi mbele yake yuko Nani!

Najiuliza, ni mwanamama Nani tena hapo chadema mwenye ujasiri kama wa Mdee
 
Mbowe alichomfanyia halima inafanana na dume aliye owa bint mdogo, akamzalisha watoto wengi na mali nyingi, afu anambwaga, dume akitariji kula maisha. Mbowe sio tu ana roho mbaya katika swala la fedha na siasa bali pia ni chauvinist.
 
Umeandika mawazo ambayo kuna siku moja nilikuwa tuna bishana na wanachadema huku mtaani kwetu, niliuliza hivi!!

Kipindi Mbowe alipopigwa ndani kipindi kile cha JPM, mwanamke pekee chadema Aliyehamasisha waende mpaka Segerea kumfuata Mbowe ama wakafungwe wote, alikuwa ni mdee

Walio enda kuanzisha Fujo pale segerea kipindi kina Msigwa wanatoka kwa kuchangiwa kwa fedha za wananchi, mwanzilishi mkuu wa kazia hiyo, alikuwa ni mzee!

Angalia kipindi wametofautiana tuu na chama, Mbowe akaswekwa ndani miezi sita, kuna mwana sissa Nani ambaye alikuwa tayari ama kwa Shari ili tu Mbowe atolewe, ni mwanamke Nani aliyehamasisha watu au kuandamana kupinga Mbowe kuwekwa sero, ama ni mwanasiasa Nani hapo chadema ambaye angeweza kuhamasisha hilo kama si Mdee peke yake?.

Tukubali ama tukatae, Mdee ni mwanasiasa kidume asiyeogopa hata maisha yake mwenyewe, alikuwa tayari kwa lolote lile ili tu chadema iwe kinara!

Huyu dada Mimi nampigia saluti!

Kuondoka chadema kwa mdee, sio tu pigo kwa chadema, Bali pia kwa viongozi wake na wanachema kwa ujumla!

Huyu dada siku akiwa Rais, si wa mchezo mchezo kwa kile anachokiamini, anakisimamia na haogopi mbele yake yuko Nani!

Najiuliza, ni mwanamama Nani tena hapo chadema mwenye ujasiri kama wa Mdee
Uko sahihi kabisa, Halima ameipigania Chadema kwa Jasho na Damu.
Hakuna mwenye uthubutu wa Halima kati ya wote waliobaki pale Chadema
 
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Umeviona vidole vya ester bulaya?
 
Hayo sasa ni matusi,kuna binadamu huwa anakuwa vizuri miguuni au kwenye magoti halafu kichwani anakuwa vibaya?
Kitu kizuri umejua nini nimemaanisha..
Usiwe mhuni kama wale walio itwa na Halima Mdee kuwa wamefanya uhuni
 
Naunga mkono hoja, Halima Mdee, kwanza ni born & breed Chadema, pili ameigharimia Chadema kwa machozi, jasho na damu, hivyo kwa vile ameonewa, karma yake ni kubwa, Chadema itatandikwa bakora za karma lakini pia wahusika na dhulma hiyo, karma haita waacha salama, bakora zitawatembelea.
P
Aisee!! Yaani naogopa kama na mimi nitakapozeeka nitakuwa mjinga kama ulivyo sasa kwenye uzee wako.
 
Sasa Chadema wamepoteza halafu wewe CCM unalalamika?
Kama wewe unawapenda sana wakina malaya wa covid 19 nenda kawashawishi wajiunge CCM.

CHADEMA haitaki malaya wa kisiasa.
Nawashauri Chadema walichofanya ni uonevu, wivu na roho mbaya..
Anyway akina Halima ni Watanzania wana sifa ya kujiunga na Chama chochote.
Hakuna Bawacha bila hao mnaowaita majina ya ajabu.
Wakati Mdee anaijenga Chadema hao wote mnaotaka waende sasa wakale jasho la Halima hawakwepo
 
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Ni sawa lakini haishi milele. Yesu aliomdoka mtume
M SAW aliondoka na dini zimeenea. Mbowe ataondoka na wengine na chama kitakuwepo
 
Back
Top Bottom