Mchango wa Halima Mdee kuijenga Chadema ni sawa na Wajumbe wote waliobaki Chadema ukimtoa Mbowe

Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Anamfikia Dr. Slaa?
 
Naunga mkono hoja, Halima Mdee, kwanza ni born & breed Chadema, pili ameigharimia Chadema kwa machozi, jasho na damu, hivyo kwa vile ameonewa, karma yake ni kubwa, Chadema itatandikwa bakora za karma lakini pia wahusika na dhulma hiyo, karma haita waacha salama, bakora zitawatembelea.
P
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Daaaah yaaan chama kife kisa mdee wameomdoka wangapi na akijafa ndo aweee mdeee mdeee ana ninii ukimlinganisha na slaaa au zito mbona walivoondoka hakikufa any way ayo maoni yako ngoja tuyaheshimu#utasubirisana
 
Hao akina Hilda si level ya Mdee

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Kama ungekuwa mtihani Basi unastahili 10/100. hivi hujajiuliza tu kuwa akina mdee walishaondoka miaka mitatu iliyopita!
Niambie Ni Nini kitasababisha sasa Chama kiyumbe na si miaka mitatu iliyopita?
Hivi kumbe una mawazo ya ajabu namna hii unaacha kulia siku ya msiba unakuja kulia siku ya hitma? Mmh
 
Hivi malipo yalishapandishwa au ni ileile buku saba?
 
Mjinga tu ndiye anaweza kuzungumza CHADEMA kufa.

Chadema Ni imani, imani hii wanayo wananchi. Hakuna Chama cha siasa ambacho kinaishi bila nyakati mbaya au misukosuko.Ccm imepitia hali hizi mara nyingi Sana.Kinachobaki Ni namna gani chama kitasimama imara km taasisi na kipita salama ktk hizo nyakati ngumu.

Kwann hamtaki kurudisha siasa za wazi za ushindani ili tuone ni nani ana hali mbaya mbele ya wananchi kati ya Chadema na CCM.

Nidhamu ni kila kitu. Pasipokuwa na nidhamu ni vurugu na wendawazim mtupu.

Mdee na wenzake , mpango wao ulikua kuivuruga CHADEMA kwa ufadhili wa CCM na MAGUFULI. Kama siyo uimara wa kitaasisi wa CHADEMA , chama hicho kingesambaratika kabisa.

Kina Mdee walikuwa wanajua wanachofanya. Na CHADEMA km taasisi imara yenye mifumo imara waliwwza kuidhibiti hali. Ndiyo maana mnakuja humu kulia lia.

Tafuteni plan nyingine.

CCM wanajua ikisambaratika Chadema, ndiyo ahueni yao. Kwasababu hakuna chama kingine imara chenye mifumo imara. Zitto na ACT yake ni vuguvugu, CUF na Nccr hawaeleweki, wapo haieleweki wanachosimamia.

Chadema ni wananchi.
 
Kama ungekuwa mtihani Basi unastahili 10/100. hivi hujajiuliza tu kuwa akina mdee walishaondoka miaka mitatu iliyopita!
Niambie Ni Nini kitasababisha sasa Chama kiyumbe na si miaka mitatu iliyopita?
Hivi kumbe una mawazo ya ajabu namna hii unaacha kulia siku ya msiba unakuja kulia siku ya hitma? Mmh
Mdee ni kichwa saana mkuu, mchango wa Mdee pale Chadema hauwezi linganishwa na yeyote yule ukimtoa Mbowe
 
Uzushi upi? Sasa Halima Mdee utamlinganisha na nani
Hamna mkubwa kuliko taasisi ukikiuka sheria lazima uchukuliwe hatua bila kujali nguvu au mchango wako.

Huyo Zitto hali yake kisiasa ipoje baada ya kufukuzwa na chadema?
Na huyo dr Slaa je???

Lazima ujifunze kuheshimu sheria na taratibu za taasisi unayoitumikia ili la sivyo utakutana nacho tu mkuu
 
Ukweli lazima usemwe.
Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania.

Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja.

Alipo ondoka Zitto ndani ya Chadema, chama kiliyumba na hakikuwahi kukaa sawa mpaka sasa. Dr Slaah alijitahidi saana kuziba pengo la bwana Zitto.

Alipo ondoka Dr Slaah, Chadema sio kwamba kiliyumba tu bali kilipoteza mwelekeo, kimekuwa Chama cha matukio tu, kila wanachojaribu kufanya wanadondokea pua, movement zao zote zinafeli.

Sasa wameamua kumuondoa Halima Mdee na wenzake.
Hakuna asiyetambua uwezo binafsi wa Halima Mdee katika uwanja wa siasa za Tanzania. Mdee amekijenga chama, amefanya akina mama wengi wajiunge na siasa za upinzani.

Hakuna mwanamke yeyote hapa Tanzania ambaye anaweza lingana na Mdee katika siasa za upinzani. Mchango wa Mdee kwa Chadema ukimtoa Mbowe ni sawa na Wanachama wote waliobaki Chadema.

Katika vita vyote ulivyowahi kupigana Mh. Mbowe hii ya akina Halima Mdee na wenzake umeshindwa.

Ni chuki tu zimewaondoa Chadema akina Mdee na wenzake .
Hao akina Hilda si level ya Mdee.

Chadema kinaenda kuzikwa moja kwa moja kwenye siasa za Tanzania
#MUNGU IBARIKI TANZANIA #MUNGU MBARIKI MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #SSH
Kwani Halima pamoja na hayo si alifundwa na Mwenyekiti Freeman A. Mbowe....

Hata hao akina Hilda watafundwa tu kwani nini....!!?

Naona kama mnamvimbisha kichwa huyo msaliti na mambo yake ya kihuni humo...
 
Daaaah yaaan chama kife kisa mdee wameomdoka wangapi na akijafa ndo aweee mdeee mdeee ana ninii ukimlinganisha na slaaa au zito mbona walivoondoka hakikufa any way ayo maoni yako ngoja tuyaheshimu#utasubirisana
Chadema ile siyo ya sasa..
Walipoondoka hao uliosema na mlipomtenga Halima, hakuna movement yeyote iliyowahi fanikiwa bila hao waliondoka
 
Naunga mkono hoja, Halima Mdee, kwanza ni born & breed Chadema, pili ameigharimia Chadema kwa machozi, jasho na damu, hivyo kwa vile ameonewa, karma yake ni kubwa, Chadema itatandikwa bakora za karma lakini pia wahusika na dhulma hiyo, karma haita waacha salama, bakora zitawatembelea.
P
Hivi mshiriki wa familia akikosea asiadhibiwe eti kisa ameipambania sana familia??

Sasa si kuna siku atawapanda vichwani familia nzima na hamtakuwa na cha kumfanya
 
Back
Top Bottom