mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,387
- 1,556
Sasahivi unasongea nini, tangia ameondoka Slaa na Zitto chama kumeisha ongezeka Wabunge wangapi na wanachama kama sio kupungua?Slaa anaondoka aliacha chadema ina wabunge zaidi ya 70 sasahivi kuna mbunge mmoja,alafu unasema kuondoa kwa Slaa akuna kilichopingua.Ccm pamoja na ukubwa Wake ukuti wanafanya ujinga kama huu kama wamerudisha akina Membe ambao walikuwa wamejiunga na vyama vingine.Kesho ukifanyika uchaguzi utasikia tumeibiwa kura, wakati mnafukuza wakongwe na wazoefu ktk siasa,Ccm itaongoza milele kwa ujinga huuππππππ
Daaaah yaaan chama kife kisa mdee wameomdoka wangapi na akijafa ndo aweee mdeee mdeee ana ninii ukimlinganisha na slaaa au zito mbona walivoondoka hakikufa any way ayo maoni yako ngoja tuyaheshimu#utasubirisana