Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Good riddance!let them ila wajihadhari wanayajua vizuri makijani ......Hawa vijana kweli?wataishia kuzungushwa inchi nzima hakuna watakachoambulia,wa tz wa sasa Mbona hawadanganyiki wameshachoshwa na makijani mijitu inamzomea mpaka BA yake R 1,kina aw ku Pinda sembuse hao makinda?ubaya Hawa vijana hawashauriki wangetulia tu ingewapa heshima Mbele ya jamii Hii ruka ruka Yao itawacost sana tu.......au Ndio prezzo kawashauri watangulie atawakutaga mwee .....
 
hawa wasaliti wakija kanda ya ziwa tutawapiga na mavi ya ng'ombe makavu yanaitwa ndelya,wajaribu sie tuko serious na ukombozi zao la pamba linashushwa thamani na hawa watu wa ssm wala hawana mpango wa kutusaidi
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
CCM ina wenyewe, na watu wenye ndimi mbili huku hatuwataki. Tuna uhakika gani wakija huku hawatarubuniwa na kutuharibia chama? CCM ina maadili asikwambie mtu, ndimi mbili NO!
Queen Esther
 
Tunamfahamu huyo mbunge. Ni Shibuda!
 
CCM ina wenyewe, na watu wenye ndimi mbili huku hatuwataki. Tuna uhakika gani wakija huku hawatarubuniwa na kutuharibia chama? CCM ina maadili asikwambie mtu, ndimi mbili NO!
Queen Esther
Wawkeni benchi kwanza. Wapige mark time.
 
Sio kama wanahamia CCM,bali wanajidhihirishi wao ni CCM.CDM walikuwa maSPY wa CCM,uSPY wenyewe umewashinda.
 
Mkuu Mingoi,
  • Kuhusu wabunge saba hiyo ni propaganda ya Mwigulu ,Hakuna kitu kama hicho.Sana sana anaweza kuwa ni mbunge mmoja tu ambae ni Shibuda.CCM wanahangaika sana na CDM na kujisahau kuwa adui wao sio CDM ila ni hali duni ya maisha ya watanzania ( Laiti kama wangeweza kuwasaidia watanzania katika hilo CHADEMA wasingekuwa na cha kusema)
  • Hata hivyo naona hakuna haja ya kuwajadili sana hawa vijana ambao hawastahili hata kujadiliwa katika mambo ya ujenzi wa nchi yetu zaidi ya ubomoaji (Hakuna hata mmoja kati yao nimewahi kumuona au kumsikia katika ujenzi wa chama zaidi ya kubomoa). Hivyo ni dhahiri wakienda CCM wataendelea kutumia mbinu zao za medani kuibomoa CCM, sijui kama CCM wameliona hili maana mbali na Kingunge, maafisa propaganda wa CCM wameshiriki kuibomoa CCM cheki kama Tambwe Hiza sijui ameisaidiaje CCM, Nape Nnauye naye "single yake ya Magamba na Mafisadi" imeiacha CCM mbende mbende...! Nafurahi Shonza na Mchange na Mwampamba waende CCM ili ngoma inoge
  • Tukiweka swala la ushabiki pembeni hawa vijana ni watovu wa nidhamu kwa namna yoyote ile.Hata huko kwenu CCM wasingevumiliwa.(Tusubiri tuone CCM itakavyowalea_
  • Ignoring someone pia ni busara.Perfect

Mkuu Gracious hapo kwenye red umemaliza kabisa.
 
huyu shibuda jamani ni magamba na alihamia cdm wakati ule kwa sababu alikosa ulaji. na kwa sababu cdm ameshagundulika kuwa ni mamluki na hana nafasi, basi anatumia kila mbinu kukidhoofisha cdm kwa matamko ya uzushi na kuwakatisha watu tamaa kuendelea kukipa nguvu na kukitegemea. lakini hataweza kwa kuwa hali ngumu ya maisha iliyosababishwa na ccm watanzania wanaiona tena bila kutumia kiona mbali.(binocolar) VIVA CDM. R.I.P CCM.
 
Hapa ndo mjue kuwa magamba ni upepo uvumao bila kutikisa miti, yaani alichokuwa anakisema Mwigulu ndo hiki kuwa kuna wabunge 7 wa CDM watakaohamia CCM, ndo hao sasa.
Dah Hongereni ccm, kwa kijana wa CCM ambaye alikuwa hajaoa amepata kimwana!!!
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.

Wakitoka Kanda ya ziwa waende na Mbeya na Mtwara kuidhoofisha Cdm vizuri,hv maccm yana watu wenye akili timamu kweli?wana mbinu za kitoto na za k.i.p.u.u.z.i sana!!Watanzania wa leo ni wakuwadanganya kwa propaganda za k.i.p.u.u.z.i na rahisi kiasi hiko??kazi wanayo,watoto wa she buda sijui uwa wanajisikiaje kua na baba kama huyo!
 
Siku zote katika vita na hata mazouezini tu majeruhi na wachovu wakizidiwa huenda mapumzikoni. Sasa hawa kwa kuwa wamechoka na mwendo wa Makamanda, acha wakajipumzikie ccm ambako hawatasikika tena ktika uringo wa siasa.
 
Back
Top Bottom