Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

La kuvunda halina ubani! Ni mpumbavu gani huko mikoani asiyejua kazi za DrSlaa, hadi aanze kusubiri kumsikia Shonza?

kazi gani aliyofanya slaa...? zaidi ya kupiga campaign for 2015
 
ningeruhusiwa kuoa mke wa pili ningemposa Juliana Shonza ili waache kumchezea mtoto mzuri hivi! Kweli naumia,pole sana dada Shonza kwa yote unayokumbana nayo.Imagine na ccm walivyo na makundi,wakikutema utaenda wapi? Labda kwa kaka mbatia,

Ha ha ha ha ..... Unamtaka Juliana? Utaratibu wa kwetu unakwenda hivi??!!: Utatuma mshenga nyumbani kwa babake Juliana saa 11 na nusu alfajiri . Afu mshenga awe na jembe lisowekwa mpini. Mtu wa kwanza kufungua mlango atakutana na mshenga pale mlangoni, na mshenga atamtuliza asiogope. Mshenga atataja jina la ukoo wako na kusema mnaomba udungu. Kabla hajakujibu lolote utarushia kile kijembe kule ndani na kuishia. Application iende hivo....karibu!!!!
 
Lowasa, mbabe wa CCM ameishindwa CDM, Shibuda mnyonge kabisa hatoweza , kuwa na Mdomo Mpana ni maumbile tu wala si kigezo cha kujua kuongea , ndiyo maana kuna wanawake wenye makalio makubwa sana lakini ni Wagumba !

Duh!....wajameni hii misemo mnaipataje? Hakyanani nimecheka wakati "mywife" wangu leo kaniudhi!
 
Wakati wanaondoka tutachukua ufagio tufagie mavumbi yao ndani ya CDM na alama za unyayo wao .
 
Waende salama kwani meli ya ukombozi inakwenda kasi kuliko spidi ya mwanga.
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
 
Dr.Slaa kashindwa kuongoza familia yake,CDM ni mzigo kwake ndiyo maana awapa divorce makada wote wanaompinga akifikiri ndiyo solution !..Don't run from problems rather than solving them.....U better quit from power and let ZZK to ride the way for ultimatum of party integrity .
 
Kanda ya ziwa tumechoka kulishwa mapanki na ccm,tunasubiri minofu ya cdm.hakuna atakayemjibu shibuda maana ni mfu kisiasa.
 
shonza ni mtoto mdg sn kisiasa labda kwa kuvua nguo namkubali mana nimfaham vzr sn nimesoma nae udsm,na hata huko mbozi hafahamiki kabisaaaa
 
Waende huko,hawana lolote mi nshachoka na habari zao,ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!
 
Buriani Ndugu yangu Mchange. Nitakukumbuka tu kwasababu tulisoma wote UDOM wewe ukichukua BA. International Relation

Sasa kama relation yenyewe ndio hiyo anayofanya basi alipoteza tu muda chuoni,au alikuwa analipiwa ada na magamba.
 
Wanatafuta matatizo tu hao! Watapopolewa mawe warudi Muhimbili na vidonda! Wakifika Muhimbili watagundua kuwa madaktari hawako upande wao. Wakifa ndo watashangaa wako motoni na hata akina Nyerere watamchukia
 
Watakwenda kuwahubilia CCM kile wanachopenda kusikiliza................. CCM ni kama walokole na biblia hawachoki kusikia kile wanachopenda kusikia hata kama utarudia hicho hicho kila siku kwao ni sawa tu!!
Toa upumbavu wako hapa. Yaani unaifananisha CCM na Walokole ( biblia ) ? Unatafuta laana wewe. Hakika moto wa milele unakusubiri jehanamu.
 
Acheni waende huko kuzimu kwani ndiko wanakostahili kuwepo.
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.

Huyo dada anahama vipi na alisema yeye bado makamu mwenyekiti halali wa BAVITA? Au kakubali yaishe? Au anaenda CCM kwa mkopo?
 
Back
Top Bottom