Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.

bora wahamie NCCR Mageuzi watafikiriwa vyeo huko wanako enda ndo mwisho wao kisiasa
 
....Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA

Jina hata mi ninalo. Ni John Magale Shibuda. Ni habari ambazo zimeandikwa kwa kirefu kwenye magazeti ya leo, sio siri tena!
 
La kuvunda halina ubani! Ni mpumbavu gani huko mikoani asiyejua kazi za DrSlaa, hadi aanze kusubiri kumsikia Shonza?

Afadhali waende huko huko kwa bwana wao. Tunamsubiri Shibuda na watu wake.
 
Juliana Shenzi na Habibu Mchanga wote ni wachanga wa siasa na zaidi ni washenzi tu!
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.

Mkuu hawahamii CCM ila wanarudi nyumbani baada ya "KIPIGO" kikali. Bdado babu yao SHibuda anabakia kunusa nusa
 
We na wewe ni mmbea mbona hutaji na wale wabunge 7 walio mbioni kuvaa gamba.

Wale habari zao 'zinajulika' na huripotiwa na Magazeti Maalumu ya Majira na Jambo Leo chini ya uratibu mujarab wa Mwigulu Nchemba.
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.

Pumbavu zao waende huko kwa Magamba yenzao atuwatak huku wajitusu waje Mwanza wamulize Pinda kilichomkuta........
 
Mahitaji ya watanzania sio propaganda,,,

Tunahitaji elimu bora na yenye hadhi tofauti na hizi shule za kata ambazo ni mtambo wa kutengeneza zero
Tunahitaji huduma bora za afya na watanzania kutokufa kwa kukosa panadol au kufia mapokezi kwa kuwa hospitali hazina dawa na madaktari wamekata tamaa huku akina mama wanalala wanne kitanda kimoja
Tunahitaji nyumba na makazi bora na sio tembe
Tunahitaji maji safi na salama kwa afya zetu
Tunahitaji ajira kwa vijana wetu
Tunahitaji mgawanyo ulio sawa wa rasilimali....

Kama wakipita kuhubiri namna ya kupata hivyo vitu wananchi wengi watawasikiliza but wakipita na propaganda za Dr Slaa mbaya wakati sisi ni kipenzi chetu wataishia kuzomewa tu na kutukanwa
 
Siasa inapokuwa biashara ndio matatizo yake haya...
 
nilichogundua ni kuwa,hao juliana na habib wanahisi/wanaona wenyewe ni watu maarufu Tz!lkn ukweli ni kuwa hawajulikani kiac kwamba wanaweza leta impact!!mi mwenyewe nawackia 2,sembuse wa Tz?pole yao
 
Inamaana CCM wameishiwa watu wa kuwapigia debe mpaka wakue hao Vichomi?hakuna kiumbe yoyote dunia hii anaweza kuharibu reputation ya Dk Slaa...I will say it again
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.

washauri kabla ya kurudi ccm wakamuulize Dr. Ramwai, Thomas Ngawaiya na yule jamaa wa cuf aliyedaiwa kuuza jimbo la kigamboni wameishia wapi. watawabeba siku za mwanzo lkn baada ya miezi kadhaa hatutawasikia tena ktk ulingo wa siasa

halafu kwani hao walitoka lini ccm, wasitudanganye, bora sie wengine waumini wa mabadiliko tusio na vyama
 
Kusema ukweli huyo dada simjui nimeanza kumsikia humu JF, pamoja na kusoma kwangu magazeti na kufuatilia SIASA zetu sikupata kujua chochote cha maana alichofanya katika Taifa hili huyo SHONZA, sasa CCM wanapomchukua yeye na mwenzake kuzunguka kanda ya ziwa kwa ajili ya kuchafua Slaa ni upungufu wa mawazo, CCM kumchafua Slaa hawajaanza leo kila mtu anakumbuka nguvu waliyoifanya CCM 2010 lakini haikufua dafu mioyo ya WATZ imesema CCM sasa basi, hakuna atakachofanya Shonza kibadilishe mioyo yetu.

Kuhusu SHIBUDA huyu sitaki kumuongelea sana si ndiye huyu alitaka kuchukua fomu za urais kumpa chalenji JK, sasa nini kinawashangaza CDM kwa ukinyonga wake,watu wa kanda ya ziwa hawakumpa shibuda ubunge kwa sababu ni SHIBUDA bali wamempa ubunge kwa sababu ana tiketi ya CDM, CHADEMA msiwe na hofu kila safari ina ugumu wake na mpaka kufikia 2015 virus wote watajiengua na chama kitabaki safi, si mnajua Baba wa Taifa alisema ikulu ni mahali patakatifu......
 
Hiyo itakuwa ni habari njema sana kwani, wakati CCM itakapodondoka, nao watadondoka pamoja nayo! Naamini, mara tu watakapohamia kwa magamba, umaarufu wetu na zaidi ile ajenda yetu ya 'nguvu ya umma' itaongezeka mara dufu...
Asante sana C.I.A wetu! Vipi, Babu Midevu Mr.Maangula na Nape wameonekana leo hapo?
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
Hao masalia waache warudi kwao CCM na wamsafishie njia baba lao Shibuda,ambaye naye anaelekea kurudi home kwake CCM siku za hivi karibuni, huku CDM walikuja kwa mission maalum waliyotumwa na magamba, lakini kwa bahati mbaya sana kwa magambana bahati nzuri kwa CDM, wameshindwa kabisa kutekeleza assignment waliyopewa na magamba, kutokana na umakini na Intelejensia ya hali ya juu ya CDM!!
 
waambie waache us*nge yaani ni ngoma mbili zisizolingana kabisa

Dr Slaa Vs Shonza
 
Back
Top Bottom