Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

sasa tetesi zozote za humu jf nitaziamini....hii habari ilikua kweli kabisa.....na mimi nahisi hata huyu mbunge wetu nae alikua mmoja wao na walivyoona kawageuka wakamkomoa kwa kufuta kamati yake
 
Siku zote JF hua inaona mbali saaaaaana na sijawahi ku-underate any information ninayoikuta hapa kitaani...Thank a lot Mpwa
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.
 
Asante mkuu kwa taarifa hizi za awali kabisa.
Ni jukumu letu wana JF kutilia maanani taarifa za namna hii badala ya kuwakebehi waleta habari kwa maswali na kejeli.
 
Na sasa yametimia,2nashukuru sana wadau kwa taarifa zenu za uhakika na za awali kabisa..
 
kama wanategemea kutumia siasa chafu kama mtaji wao kisiasa,watu wakichoka kusikiliza uongo wao sijui itabidi warudi kulima mihogo
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.

Yametimia mkuu uliyosema. Sasa tunasubili waende huko kwa Chibuda lakini na yeye ajue siku zake zimehesabiwa ndani ya Chama.
 
Sasa tunasubili Mheshimiwa awape huo ubunge wa kuteuliwa. Sijuhi bado anazo nafasi ngapi?
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.

Nimeamini sasa usemayo mkuu. Big up. Twambie na huyo Shibuda wa kanda ya ziwa anarudi lini ccm?
 
Lamli yako ni Digitali. Yaani majibu yamekuja bila ya chenga. Waliokuwa wanakukebehi wameona sasa.
 
CCM ina wenyewe, na watu wenye ndimi mbili huku hatuwataki. Tuna uhakika gani wakija huku hawatarubuniwa na kutuharibia chama? CCM ina maadili asikwambie mtu, ndimi mbili NO!
Queen Esther

Queen Esther, futa kauli. Gundu mnalo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Queen Esther, unasemaje?

Mchami, hivi unategemea Shoza Kama kweli yote aliyoyafanya CDM ni kweli atajaribu kuyarudia CCM? Mbona watamgombea Kama mpira wa KONA!

CCM ina wenyewe hasa UWT, akamuulize Shyrose. Yaani anaangaliwa na kufatiliwa kuliko ilivyokuwa kwa Osama na Marekani.

Ushauri wangu kwake ni kulinda mguu wake na mdomo kuliko pochi Yake.

Ndimi mbili NOOOO!

Queen Esther
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom