Mnyika anaeleza kwa mujibu wa katiba hauwezi kuwa mwanachama wa vyama 2, Mchange hawezi kuwa mwanachama wa CHADEMA na Act na ni makosa kwa mwanahabari kumwita ni mwanaCHADEMA
Anaeleza kuwa madiwani walikuja wakaeleza kwa kina jinsi walivyorubuniwa
Pi star tv wangewaita watu wote waliotuhumiwa wakiwepo Mwigulu, nape, kinana,masele na zitto waliotuhumiwa
Anawaambia kuwa star tv waache kuhamisha hoja
Hivi kama kweli Mnyika alimua Chacha Wangwe hivi serikali ya mafisadi ingemwacha