Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Kweli hakuna mwanasiasa msafi! huyu bwana mdogo mchange alikuwa wapi siku zote kuwatangazia watanzania wapenda amani kwamba wangwe aliuwawa na CDM? inawewezekana anachosema mchange ni ukweli mtupu ila ametumia sababu mbaya tu.
Hapo tu inaonesha kwamba wanasiasa wanaojidai ni watetezi wa wanyonge ni wachumia tumbo tu, wanaficha maovu ili kulinda maslahi yao, ikitokea wametibuliwa wanaanza kutoa walichokificha! huu ni unafki. Ila nashukuru bwana mchange kwa kufichua maovu kwa nia mbaya japo tumechelewa.
 
Katika story nzima alieguswa ni polisi na aliepewa habari ni polisi tusubiri .polisi ifuatilie haya na kulihabarisha taifa. Hata hivyo inaonyesha mtoa habari ni mshirika mkuu wa mipango ,kazi kwenu polisi Criminal Investigation Department !
 
Nimeiangalia picha ya tukio ya mlipuaji wa Daudi Mwangosi hadi nachanyikiwa namna ya kuelewa hilo tukio la ulipuaji na uhusika wa mtu aliyeandaliwa? Nilitegemea Mchange - ajitahidi kumuelezea vizuri huyo askari muuaji kama alivyowaelezea wale wahusika wa matukio ya Arusha, Chacha Wangwe, muuza magazeti wa morogoro, etc
la Daudi Mwgosi limepunguza credit zote za tamko hili,
ndo kwanza imezidi kufanya niamini hii ni propaganda ya kitoto mno.
Je Mchange yuko tayari kuhojiwa kuhusu kifo cha Daudi Mwagosi?
 
Media ya Tanzania inatia aibu hivi mtu mpumbavu kama huyu ambae amefeli shule hata kwenye chuo cha kata pale UDOM anawaita wanakwenda kumsikiliza hata kama hawakuandika lakini kitendo tu cha kwenda kumsikiliza ni ujinga wa hali ya juu, mchange ni mjinga hapaswi hata kutajwa kwenye jambo lolote,
 
''Nitaendelea kulilinda na kulisimamia Taifa langu milele'' .....

Wanasiasa uchwara wanajua sana kupanga maneno
 
Duuh!!! Hapa ipo kazi, Tutasikia mengi. Bado Mwigamba, Zitto, Alfi, Shibuda hawatoa yao ya moyoni.
 
Habib Mchange, katika kujibu madai ya mipango ya mauaji ya Slaa na Mnyika, hajibu hoja bali amekana kwa njia inayojulikana kimantiki "Argumentum ad Hominem" yaani unamshambulia mtu/watu kwa kuwa huwezi kujibu hoja iliyopo mezani. Habib Mchange ameshambulia kiini badala ya tatizo "Genetic fallacy."

Kwa nini Habib asiwashitaki mahakani madiwani Sebastian Mzuka wa kata ya Ngokolo na Zacharia Martin wa kata ya Masekelo ambao wametaja jina lake? Haingii akilini kabisa kwa mtu mwenye akili timamu kutoa shutuma hizo bila jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya sheria. Amesubiri kutajwa jina lake mbele ya waandishi wa habari, kisha yeye pia kwenda habari maelezo kuushambulia uongozi wa Chadema! Kwa nini asifungue jalada la madai polisi? Hivi hapa Tanzania uhuru wa kusema ni kusema ovyo ovyo tu? Sijui heshima ya dola iko wapi jamani Tanzania!!! Sasa ninaamini nchi hii ina "collective imbecilition!" Utaahira wa halaiki! Tunakubaliana na mambo ya ovyo ovyo tu; kama alivyowahi kusema hayati Profesa Chachage.
 
Kwa nini Habib asiwashitaki mahakani madiwani Sebastian Mzuka wa kata ya Ngokolo na Zacharia Martin wa kata ya Masekelo ambao wametaja jina lake? Haingii akilini kabisa kwa mtu mwenye akili timamu kutoa shutuma hizo bila jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya sheria. Umesubiri kutajwa jina lake kwenye shutuma hizo ndipo naye aite waandishi wa habari na kuushambulia uongozi wa Chadema, kwa nini usifungue jalada la madai polisi? Hivi hapa Tanzania uhuru wa kusema ni kusema lolote lile? Polisi wako wapi? Sasa ninaamini nchi hii ina "collective imbecilition!" Utaahira wa halaiki! Tunakubaliana na mambo ya ovyo ovyo tu!
 
Habib Mchange, katika kujibu madai ya mipango ya mauaji ya Slaa na Mnyika, hajibu hoja bali amekana kwa njia inayojulikana kimantiki "Argumentum ad Hominem" yaani unamshambulia mtu/watu kwa kuwa huwezi kujibu hoja iliyopo mezani. Habib Mchange ameshambulia kiini badala ya tatizo "Genetic fallacy."

Kwa nini Habib asiwashitaki mahakani madiwani Sebastian Mzuka wa kata ya Ngokolo na Zacharia Martin wa kata ya Masekelo ambao wamehusisha jina lake na tuhuma hizi? Haingii akilini kabisa kwa mtu mwenye akili timamu kutoa shutuma hizo nzito bila jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya sheria! Amesubiri kutajwa jina lake ya waandishi wa habari, kisha naye kutumia njia iyo hiyo kuushambulia uongozi wa Chadema! Kwa nini usifungue jalada la madai polisi? Hivi hapa Tanzania uhuru wa kusema ni kusema ovyo ovyo tu? Vyombo vya usalama viko wapi? Sasa ninaamini nchi hii tumefikia kwenye hii hali ya "collective imbecilition!" Utaahira wa halaiki! Tunakubaliana na mambo ya ovyo ovyo tu, kama alivyobaini hayati profesa Chachage!
 
Likewise nami natarajia wale wote waliotajwa kwa majina na Habibu Mchange wamuchukulie hatua za kisheria.
 
Media ya Tanzania inatia aibu hivi mtu mpumbavu kama huyu ambae amefeli shule hata kwenye chuo cha kata pale UDOM anawaita wanakwenda kumsikiliza hata kama hawakuandika lakini kitendo tu cha kwenda kumsikiliza ni ujinga wa hali ya juu, mchange ni mjinga hapaswi hata kutajwa kwenye jambo lolote,

mjinga kwa kuwa kaongea ukweli au....mbona wale madiwani hukuuwaita wajinga
 
Habib Mchange, katika kujibu madai ya mipango ya mauaji ya Slaa na Mnyika, hajibu hoja bali amekana kwa njia inayojulikana kimantiki "Argumentum ad Hominem" yaani unamshambulia mtu/watu kwa kuwa huwezi kujibu hoja iliyopo mezani. Habib Mchange ameshambulia kiini badala ya tatizo "Genetic fallacy."

Kwa nini Habib asiwashitaki mahakani madiwani Sebastian Mzuka wa kata ya Ngokolo na Zacharia Martin wa kata ya Masekelo ambao wametaja jina lake? Haingii akilini kabisa kwa mtu mwenye akili timamu kutoa shutuma hizo bila jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya sheria. Amesubiri kutajwa jina lake mbele ya waandishi wa habari, kisha yeye pia kwenda habari maelezo kuushambulia uongozi wa Chadema! Kwa nini asifungue jalada la madai polisi? Hivi hapa Tanzania uhuru wa kusema ni kusema ovyo ovyo tu? Sijui heshima ya dola iko wapi jamani Tanzania!!! Sasa ninaamini nchi hii ina "collective imbecilition!" Utaahira wa halaiki! Tunakubaliana na mambo ya ovyo ovyo tu; kama alivyowahi kusema hayati Profesa Chachage.

je wale madiwani na huyo mnaedai ni mtaalamu wa sheria mbona walifanya kama mchange na hukusema lolote.....kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
kumbe ana ushahidi mzuri kwa nini polisi wasi muite awasaidie kuchunguza hizi habari za hivyo vifo.
 
je wale madiwani na huyo mnaedai ni mtaalamu wa sheria mbona walifanya kama mchange na hukusema lolote.....kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha

Hoja ya msingi ni kwamba habari maelezo sio mahali pa kutoa madai mazito kama hayo! Pande zote mbili zinahitaji kupeleka madai hayo katika vyombo vya dola husika ili wengine wajifunze adabu! Shida ninayoiona kwa muda mrefu vyombo vilivyoundwa kutoa haki navyo vinashutumiwa katika mambo haya!! Hapa naona utata mwingine mkubwa!! Mchange mwenyewe anavitetea kana kwamba yeye ndiye mkuu wa intelijensia!!
 
Nimemsikiliza Habibu mchange.
Amesema Chadema ndio waliomuua mwangosi anatoa sababu kuwa chadema waliwavalisha watu wao nguo za polisi.
kwanza kwa hapo naomba HABIB Mchange anijibu haya yafuatayo:

1. Je CHADEMA wanamiliki combati za jeshi?
2. Je RPC aliyekuwepo alikubali kuvalishwa kombati na chadema?
3. Je,CHADEMA wanamiliki silaha za moto?
4. Je serikali iliposema askali wake aliyehusika amepelekwa mahakamani,walosema uongo?
5. Je RPC kamuhanda alikuwa anaamrisha vijana wa CHADEMA katika lile tukio?
6. Je,CHADEMA wana jeshi lao la police?
7. Je, CHADEMA walimuua Mwangosi kwa sababu ya kuandika habari za mikutano yao?na je CHADEMA hawapendi habari zao ziandikwe?

Naomba majibu kutoka kwa Mchange vinginevyo nadiriki kusema Habib mchange ameishiwa na anafaa ashitakiwe.

Habib mchange na wapambe wako tunaomba majibu.

Habari hii imepatikana katika mahojiano ya Mchange na Radio moja mjini Mwanza.
 
Back
Top Bottom