Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

topic imeanzishwa kipuuzi kuvuta nafsi za wapuuzi ""people should ignore it!""kumjibu huyu ni ujinga mtupu na ni upumbavu kwani hakujionea kwa macho!
 
Duh, kama hii ni kweli kuna hatari mbele yetu kama kila mtu ataachwa kuongea chochote ili mradi afurahishe kikundi fulani. Vyombo husika vichukue hatua kudhibiti maneno ya uchochezi kama haya.

Leo asubuhi kwa masikio yangu.
 
Huyu Habib Machange ni ana wadhifa gani? Naombeni mnikumbushe tu. Anahitaji kukamatwa kwa ugaidi kwa sababu anazosifa zote za magaidi, pamoja na ushuhuda wa kushiriki kupanga kufanikisha ugaidi.

Onyo kwa ccm. Leo hii mnatengenieza magaidi wa kuua wapinzani. Kesho watawachinja ninyi na kutengeneza himaya yao ya kigaidi. Historia haisemi uwongo. Lakini Mungu wetu atasimama na wenye haki. Shimo mlichimbalo, mtatumbukia wenyewe.

Mchange ni kichaa msameheni bure
 
Mnyika nilimshangaa sana,eti hamjui na hajawahi kumuona Deus Malliya !!!!
 
Mchange vipi kuhusu kulipua ndege utajibu lini

CCM Na CDM wote majanga tupu, hata Yule alieleta tuhuma kulipuliwa helkopota Dr. Slaa ananza na eti nilishawishiwa, alafu tunaambiwa eti huyu nae kiongozi wa watu huko kwao, mtu mwenye familia unasimama hadharani eti nilisawishiwa. Wanasiasa wa aina kuchunga hata ng'ombe.
 
uzuri wa mchange husema ukweli ambao hauna hata chenga suala la chacha wangwe chadema hawakwepi.

Hawakwepi? Kivipi? "CHADEMA imekamatwa" kwa mauaji mkuu, au una maanisha kitu gani hapa?

Hebu tiririka uelekweke vizuri, au hii ni sweeping tu?

Kesi iko wapi? Imeanza kusikilizwa? Na kama iliisha,iliishaje?

I am just curius to know huyu CHADEMA muuaji wa Chacha Wangwe alikula mvua ngapi!!.
 
Hili swala la Mchange kushiriki kwenye mauji halijasemwa na chadema limesemwa na madiwani walikuwa wamewashawishi hivyo angetakiwa kuwajibu wao. Kama amesingiziwa aende mahakamani akadai fidia ya kuzalilishwa siyo na yeye kujibu hoja kuwa yeye siye muuwaji wao ndiyo wauaji.
 
Yaani pamoja na mapovu ya jana headline leo zipo kwenye UHURU na JAMBO LEO tu hata habari leo hakuna...Oneni aibu basii.

Yaani Mkuu hii habari ndo nimeiona hapa sasa hivi lol.. Kwenye magazeti yote ambayo ninasoma sijayaona kabisa.. Inawezekana waandishi wetu na wahariri wa habari wameanza kubadilika na kuacha kuandika pumba..
 
Mchange ameleta vioja kutaka kumtetea bosi wake! boss wake alisema atateketeza mpaka panya.we unadhani atatimizaje hii bila kutungua chopa??? ZZT ni CCM damu damu.. CCM wanahaha kuifuta CDM, hivi kama madai ya ZZT(Mchange) ni yakweli,ccm wangehangaika kutafuta ushahidi utube au kubumba ushahidi wa kuifuta cdm?? Kupitia Mchange nimeweza kujilithisha paspo shaka ZZT alikuwa anatumiwa na CCM kuhalibu sifa za chama..that why hakuna sehemu Mchange anazungumzia tukio la Rwangantare..
 
H.mchange naulaaniwe,na watanzania wote tumlaani mchange,hivi nani asiejua kilichotokea kule nyororo ju ya mwandishi wa habari daudi mwangosi?anapo jaribu kuwahusisha viongozi wa chadema kwa mauaji yale,ushauri wangu kwa mchange kama ataka kuwa kiongozi aachane na polopaganda za aina hiyo kwa kudhani atawa shushia hadhi viongozi wa chadema mbele ya wa tanzinia,hapo amekwama
 
Kwa nn police wasimhoji huyo mtu, maana amesema kwamba anajua na alishiriki kulipua mabomu huko arusha.
 
CCM Na CDM wote majanga tupu, hata Yule alieleta tuhuma kulipuliwa helkopota Dr. Slaa ananza na eti nilishawishiwa, alafu tunaambiwa eti huyu nae kiongozi wa watu huko kwao, mtu mwenye familia unasimama hadharani eti nilisawishiwa. Wanasiasa wa aina kuchunga hata ng'ombe.

Unashauri nini tufute siasa na vyama au, mi nadhan ungetoa suluhu ungesaidia sana, ila kusema wote sawa ni kutaka watu wapuuze siasa za nchi kitu ambacho ni faida kwa ccm watawale kilaini. Kwa hayo machache nahitimisha kwa kusema hiyo ni mbinu yenu ya kupumbaza watu, wahi kachukue buku 7
 
Hata mimi nashangaa.....Hivi hawa waandishi wetu hata mwehu wanaemjua ni mwehu akiwaita, wataenda kumsikiliza?

Hizo hekaya zake kama nilivyosema magazeti yote yenye akili yamepuuza isipokuwa Uhuru, Jambo leo na Mtanzania
 
Back
Top Bottom