Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mwenyewe huwa najiuliza the same question, yaani utoko km huu hao waandishi walifanya nini? Au ndo ile kijana wa kikwete riz1anasema ni makanjanja?

Uhuru, Jambo leo na Mtanzania leo wao ndio wameandika
 
Ukifuatilia taarifa ya Mchange kwa vyombo vya habari anakiri kushiriki matukio ya kigaidi na wale anaodai walikuwa wanamtuma. Tulitegemea awe kituoni mpaka sasa ahojiwe, kwa bahati mbaya jeshi letu linaimba kila siku polisi jamii halafu kwenye mitandao muhimu kama hii hawana akaunti. Tutashangaa kama ataachwa atambe.Huenda kuna kitu anajua na kama ni uongo basi akamatwe kwa uchocheza. Tunasubiri utekelezaji sisi kama wananchi tunaopenda utawala wa sheria

Mods Huu uzi msiuunganishe na uzi wowote
 
Tangu nianze kumfuhamu kijana anaejiita msomi wa chuo kikuu napata shida uelewa wake kama kweli anajitambua au la..
Wakati vijana wasomi na weredi katika taifa lolote duniani ndio huchochea mabadiliko ya mifumu mibovu na kandamizi kwa kuielimisha jamii ambayo pengine haikupata furusa hiyo ya kupata uelewa wa mambo mengi hapa kwetu tz baadhi ya vijana wasomi kama akina mwampamba,habib mchange na n.k ndio wanatumia matumbo kufikilia badala ya akili zao kwa kulipwa ujira wa LUMUMBA.
Vijana wasomi tumieni akili zenu kuikomboa jamii na sio kuididimiza kwa ulopokaji ilihali umelipwa ujira..
 
Huyo habibu simpendi tuu maana kwa sehemu ana njaa ila

Kuhusu kuua Mbowe nimuuaji na karidhi kwa mzazi wake babake kwenye hilo nisawa na bado atawasumbua Sana na chadema hakuna wakumweza kamwe bado atasumbua Sana
 
Hawakwepi? Kivipi? "CHADEMA imekamatwa" kwa mauaji mkuu, au una maanisha kitu gani hapa?

Hebu tiririka uelekweke vizuri, au hii ni sweeping tu?

Kesi iko wapi? Imeanza kusikilizwa? Na kama iliisha,iliishaje?

I am just curius to know huyu CHADEMA muuaji wa Chacha Wangwe alikula mvua ngapi!!.

DEREVA ALIYESABABISHA AJALI HIYO ALIACHIWA haraka SANA KWA MSAMAHA WA RAIS ! Unganisha VIDOTIDOTI , HAYA YOTE HICHO KIPAZA SAUTI CHAO CHA JANA KINAJUA .
 
Habib mchange hana kazi ya kufanya,hajaajiliwa popote na wala hajajiajili,hana hata kibanda cha biashara ndogondogo,kwahiyo anabangaiza ili familia yake ipate kula,alipokuwa cdm alidhani ni chama chenye tabia za ki ccm,za kifisadi,rushwa na wizi Wa raslimali za nchi bila kujali wananchi wana ishije,akakuta cdm ni chama kinachomjali zaidi mwananchi mipango yake ikakwama,ndipo alipoona aende ccm,kwa majizi kama yeye.kwakweli huyo ni kibaka tu,kama ana elimu ya chuo kikuu basi hajui kuitumia.ni mvivu Wa kufanya kazi na kufikiri.
 
Ndugu wana jf salam! naomba nielweshwe hapa. kuna uhusiano gan kati ya Habibu Mchange na Said Arfi? hebu someni hapa:-
Subject: TANZANIA HAIHITAJI VIONGOZI WAROPOKAJI : ARFI
From: Said Amour Arfi (said_arfi@yahoo.com)
To: mchangehabibu@yahoo.com;
Date: Sunday, August 10, 2014 11:59 AM
TANZANIA HAIHITAJI VIONGOZI WAROPOKAJI : ARFI
Najua unayo mamlaka ya kuhariri lakini nitapenda isomeke kama nilivyoandika hapo juu.
Katika gazeti lako la leo Mwananchi August 09 ukarasa wa pili "wajiandae kuwa Wabunge wa Mahakama
imeandikwa na Julias Mathias " katika habari hio nami nimetajwa kwa jina napenda kumkumbusha Lissu
kama anapenda kusema akili yake isiwe ya kusahau ni hatari kwa Kiongozi na wala hataepuka kuitwa
mropokaji naomba arejee kauli yake iliyoandikwa pia na gazeti lako la 27.06.2014 Nanukuu
"......kutoruhusiwa kushiriki shughuli za kambi hio......"" Lissu anapata wapi uhalali wa kuhoji matendo na
maamuzi yangu wakati wamenitenga kinyume na kanuni za kambi rasmi hivi Lissu ni nani anapoka
mamlaka na kuachiwa katika suala hili angewaachia wenye akili na busara kushughulikia na kulisemea na
si Lissu.
Aidha kukaa kimya si ujinga ni busara tu lakini si kwa kila jambo utaacha kusema huyu Lissu
anapolazimisha kwamba hatushiriki mpaka uongozi wa BMK watoe ufafanuzi wa kifungu cha 25 cha
sheria ya mchakato wa Katiba sura ya 83 anajidanganya na kuwadanganya Watanzania Bunge kazi yake
kutunga Sheria na chombo cha Kikatiba cha kutafsiri sheria ni Mahakama ningemuelewa vyema kama
Lissu Mwanasheria angetushauri kwenda Mahakamani kusimamisha Bunge hili kupata tafsiri ya sheria na
sio kushawishi kutoka.
Mwisho hivi huyu Lissu haoni hata chembe ya aibu na kuheshimu maoni ya watu na viongozi wa dini
kututaka kurudi Bungeni lakini ameweza kusema hadharani kuwajibu viongozi wa BAKWATA mbona
hakufungua mdomo wake kuwajibu viongozi wa Makanisa au la Maaskofu Katoliki Tanzania Mimi
nawaheshimu sana viongozi hawa nimewasikia na kuwatii
Lissu weka akiba ya maneno usiwe mropokaji Tanzania inahitaji viongozi makini waliotulia
Said A Arfi (MB)
Sent from my iPad

naomba kuwakisha jamani!
 
Lisu ni kichaaa. Kabisa Kama mtakumbuka Dk Hamisi Kigwangala alishaa sema pale bungeni kuwa yeye ni Dk Wa lisu na anaendelea na dawa nadhani kaacha dawa zamu hii ndiyo maana anaropoka Sana
 
mchange ni aina ya tumbili anayepatikana Uyaoni mail moja
 
Habib Mchange alidisco UDOM so hana hadhi ya kuitwa Msomi ..........
 
Mchange ni kiboko ya Dr Slaa na Mbowe
ila wewe binadam unaejiita lizabon ni binadam mjinga kupata kuwepo ktk dunia hii yaani kila mtu akimtukana slaa wewe kwako ni kiboko ya slaa.sasa haihitaji utafiti tena kwamba ukiwa mwana ccm unapungukiwa na uwezo wa kufikiri.poleni.sana ukiona taasisi yoyote inaendekeza waganga wa kienyeji kuendesha mambo yake madhara yake nikuwa wafuasi wa taasisi hiyo kuwa na watu wa aina yako.pole tena.
 
Poor mchange subiri matokeo ya chaguzi zijazo ndo ujue kama chadema inakufa......bullshiit
 
Huyo habibu simpendi tuu maana kwa sehemu ana njaa ila

Kuhusu kuua Mbowe nimuuaji na karidhi kwa mzazi wake babake kwenye hilo nisawa na bado atawasumbua Sana na chadema hakuna wakumweza kamwe bado atasumbua Sana

Amsumbue nani huyo Salia? Huyo ni wa kupuuzwa tu! Cdm hatuhangaiki na vichaa
 
Back
Top Bottom