PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Mchange ni kichaa msameheni bure
ni wakupuuza2 maana nadhani fiuzi 1 kwenye kichwa inashoti.
Mchange ni kichaa msameheni bure
Nimemsikiliza Habibu mchange.
Amesema Chadema ndio waliomuua mwangosi anatoa sababu kuwa chadema waliwavalisha watu wao nguo za polisi.
kwanza kwa hapo naomba HABIB Mchange anijibu haya yafuatayo:
1.Je chadema wanamiliki combati za jeshi?
2.je RPC aliyekuwepo alikubali kuvalishwa kombati na chadema?
3.Je,Chadema wanamiliki silaha za moto?
4.Je serikali iliposema askali wake aliyehusika amepelekwa mahakamani,walosema uongo?
5.Je Rpc kamuhanda alikuwa anaamrisha vijana wa Chadema katika lile tukio?
6.Je,Chadema wana jeshi lao la police?
7.Je, Chadema walimuua mwangosi kwa sababu ya kuandika habari za mikutano yao?na je chadema hawapendi habari zao ziandikwe?
Naomba majibu kutoka kwa Mchange vinginevyo nadiriki kusema Habib mchange ameishiwa na anafaa ashitakiwe.
Habib mchange na wapambe wako tunaomba majibu.
Habari hii imepatikana ktk mahojiano ya Mchange na redio moja mjini Mwanza.
Mchange kanena yake. Sasa kila kitu hadharani

Kati ya Lissu na Mchange, nani kichaa zaidi?

Kichaa siyo lazima aokote makopo kuropoka vitu ambavyo havipo nao ni ukichaa.
Mchange kanena yake. Sasa kila kitu hadharani
Kati ya Lissu na Mchange, nani kichaa zaidi?
Kati ya Lissu na Mchange, nani kichaa zaidi?
Kwa hiyo umekubali kuwa Mchange ni kichaa!!??