dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,688
- 56,425
Madai aliyoyatoa Mosses Machange juu ya Viongozi wa ngazi za juu ndani ya Chadema, yachukuliwe kama Usaliti wa kazi walizokuwa wakizifanya ndani ya Chadema? Vyombo vya habari vimeripoti sana taarifa yake ya PRESS COMFERENCE juu ya tuhuma za Mauaji.
Taarifa za mauaji haya ya kutisha, ni zaidi ya SIASA, si vema kuchukuliwa kuwa ni siasa bali ni vema taarifa hii ikafanyiwa UCHUNGUZI na wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya SHERIA kujibu tuhuma. INGEKUWA NI MTU WA KAWAIDA KATOA TAARIFA HIZO, ANGEKUWA MAHALI SASAHIVI. Hii taarifa ni zaidi ya siasa, ina dalili kubwa sana ya ukweli.
Nyakati za mwisho watu hutubu kwa kujutia walioshiriki kuyafanya.
Kina MBOWE, MNYIKA, SLAA,LEMA, LISSU, si mara ya kwanza kuhusishwa na mauaji, WAKAMATWE. Hakuna aliye juu ya Sheria.
Serikali ichukulie jambo hili kuwa la dharura ili kukomesha mitandao ya UGAIDI na MAUAJI humu nchini ambao wanastawi kupitia kivuli cha Siasa. Taarifa iliyotolewa haipaswi kujadiliwa kwenye Thread moja maana ni pana sana, kwa watu wenye ubinadamu walichukulie jambo hili Serious.
Nategemea kuona Wanasheria na Watetezi wa haki za Binadamu humu Nchini kuandaa Makongamano kupitia ITV, STARTV, kama yale ya katiba katika kutetea haki za binadamu.
Yaani hadi mnatia kinyaa. Mosses Machange ndio nani? Yaani hata kubebeka hambebeki. By the way, jamaa kasema Mwangosi aliuwawa na nani? Yaani hii "hoja" ya kipumba.vu imeharibu kabisa ladha ya uzushi wake ule.