Madai aliyoyatoa Mosses Machange juu ya Viongozi wa ngazi za juu ndani ya Chadema, yachukuliwe kama Usaliti wa kazi walizokuwa wakizifanya ndani ya Chadema? Vyombo vya habari vimeripoti sana taarifa yake ya PRESS COMFERENCE juu ya tuhuma za Mauaji.
Taarifa za mauaji haya ya kutisha, ni zaidi ya SIASA, si vema kuchukuliwa kuwa ni siasa bali ni vema taarifa hii ikafanyiwa UCHUNGUZI na wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya SHERIA kujibu tuhuma. INGEKUWA NI MTU WA KAWAIDA KATOA TAARIFA HIZO, ANGEKUWA MAHALI SASAHIVI. Hii taarifa ni zaidi ya siasa, ina dalili kubwa sana ya ukweli.
Nyakati za mwisho watu hutubu kwa kujutia walioshiriki kuyafanya.
Kina MBOWE, MNYIKA, SLAA,LEMA, LISSU, si mara ya kwanza kuhusishwa na mauaji, WAKAMATWE. Hakuna aliye juu ya Sheria.
Serikali ichukulie jambo hili kuwa la dharura ili kukomesha mitandao ya UGAIDI na MAUAJI humu nchini ambao wanastawi kupitia kivuli cha Siasa. Taarifa iliyotolewa haipaswi kujadiliwa kwenye Thread moja maana ni pana sana, kwa watu wenye ubinadamu walichukulie jambo hili Serious.
Nategemea kuona Wanasheria na Watetezi wa haki za Binadamu humu Nchini kuandaa Makongamano kupitia ITV, STARTV, kama yale ya katiba katika kutetea haki za binadamu.
Vijana wa chadema ni kawaida yenu kukejeli lkn kila aliyoyasema yana ushahidi wengi wetu tunaujua ukweli ulivyo mbowe ni muuaji tu sema yetu haina usalama wa yaifa iliyo makini.
ur too general mkuu, usitetee watu kwa maneno ya kukaririshwa, hapa yametajwa mauaji mbalimbali wewe na mimi hatuna uwezo wa kuchunguza ila kuna wataalam na vyombo. Suala la kusema ni taarifa ya kuahirisha mijadala ya katiba, nalo nachelea kusema ni upotoshaji maana askari na majgdaji wa kuchunguza tuhuma hizi hawapo BMK na pia hao kina Lissu si wamegomea bunge? Wapelekwe jela.

Mkuu usiseme hivyo , uhuru bila mchange kesho wangekosa cha kuandika
Madai aliyoyatoa Mosses Machange juu ya Viongozi wa ngazi za juu ndani ya Chadema, yachukuliwe kama Usaliti wa kazi walizokuwa wakizifanya ndani ya Chadema? Vyombo vya habari vimeripoti sana taarifa yake ya PRESS COMFERENCE juu ya tuhuma za Mauaji.
Taarifa za mauaji haya ya kutisha, ni zaidi ya SIASA, si vema kuchukuliwa kuwa ni siasa bali ni vema taarifa hii ikafanyiwa UCHUNGUZI na wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya SHERIA kujibu tuhuma. INGEKUWA NI MTU WA KAWAIDA KATOA TAARIFA HIZO, ANGEKUWA MAHALI SASAHIVI. Hii taarifa ni zaidi ya siasa, ina dalili kubwa sana ya ukweli.
Nyakati za mwisho watu hutubu kwa kujutia walioshiriki kuyafanya.
Kina MBOWE, MNYIKA, SLAA,LEMA, LISSU, si mara ya kwanza kuhusishwa na mauaji, WAKAMATWE. Hakuna aliye juu ya Sheria.
Serikali ichukulie jambo hili kuwa la dharura ili kukomesha mitandao ya UGAIDI na MAUAJI humu nchini ambao wanastawi kupitia kivuli cha Siasa. Taarifa iliyotolewa haipaswi kujadiliwa kwenye Thread moja maana ni pana sana, kwa watu wenye ubinadamu walichukulie jambo hili Serious.
Nategemea kuona Wanasheria na Watetezi wa haki za Binadamu humu Nchini kuandaa Makongamano kupitia ITV, STARTV, kama yale ya katiba katika kutetea haki za binadamu.
CHADEMA wao kupitia magazeti yao ya RAaia Tanzania na Tanzania Daima wanaita ni mkakati wa kuiangamiza CHADEMA, watu wa ajabu sana.Kipindi kile madiwani wa chadema wale wa shinyanga wanatoa tuhuma kuwa naibu waziri masele na mchange walitaka kuilipua helkopta ya dr slaa ulitoa ushauri kama huu kwa vyombo vya dola?
Nikimnukuu IGP mangu" hizi ni siasa za chadema tu" kwa nini na mie nisiamini kuwa hizi ni siasa za ccm kipitia kuwadi wao mchange?
Huwezi kujua yote aliyoyasema kama ww sio mmoja wao,pili lile swala la mwangosi hata kama kipofu unaweza jua kbs ni nani aliyehusika na yale maauaji,na kama viongozo wa juu wa cdm wanahusika hadi leo tusingekuwa nao uraiani kwani wametafutwa sana kwa kesi mbali mbali na zote za kutunga ndiyo maana wanazishinda,tutumieni akili zetu kwa manufaa ya Taifa letu,kuliko kuwatumia hawa wasaliti kuhamisha mijadala ya kitaifa kihuni kihuni tu
Ushahidi gani unatakiwa zaidi na huo, Machange alikuwa jaribu sana na viongozi wa CDM na zaidi ameshasema mnyika alivyohusika, akamatwe MNYIKA then wafanye uchunguzi hapo ndipo Mchange atahitajikaManeno yako ni sahihi kabisa. Madai yale ni mzito sana, ila katika sheria zetu tuna kitu kinaitwa ushahidi. Kinachonishangaza mpaka sasa hivi ni kwa nini Machange hajafuatwa na vyombo vya sheria kumtaka awape ushahidi kusudi sheria ichukue mkondo wake. Makosa ya jinai kama aliyotaja Machange yanasimamiwa na serikali, bado aliowatuhumu wanaweza kujitetea kwa kuja kesi za madai dhidi yake, lakini atakuwa amewatangulia iwapo atatoa ushahidi wake polisi mapema na watuhumiwa hao wakachukuliwa hatua za kisheria. Akishindwa hilo, basi huenda atakuwa anajiandaa kuburuzwa kwa kesi za defamation kutoka kwa aliowatuhumu.
Kumbe John Mnyika ni muuaji nae kama Mbowe na Slaa? Tunashukuru kwakujua yalio nyuma ya pazia.
Nkuu Chikutentema, kwanja, achante!. Sifa ya kuita Press Conference ni
1. Uwe na umri wa miaka 18
2. Uwe na akili timamu
Thats all.
Thanks.
Pasco
Hii ishu ya mwangosi huwezi kuita ugaidi, ilikuwa ni harakati za utendaji kazi wa polisi, huu ugaidi wa chadema ni hatari sanaWaongezee na picha nyingine zaidi ya vijana wa policcm wakimteketeza Mwangosi afu watufafanulie Mbowe anaonekana sehemu gani. Poleni ccm