Mchange nae ni mtu wa kumjadili!?
Ameuza ubunge kwa Koka kwa Mil 10, akamgawia dalali MM milion 3 akabakiwa na 7 akawehuka akaacha shule. Hana maana hata kidogo huyo
Last edited by a moderator:
Mchange nae ni mtu wa kumjadili!?
Mchange nae ni mtu wa kumjadili!?
kwani hili suala la chacha wangwe ni uongo mbona kweli kabisa au unapingana na ukweli?
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.
kwani hili suala la chacha wangwe ni uongo mbona kweli kabisa au unapingana na ukweli?
Ameuza ubunge kwa Koka kwa Mil 10, akamgawia dalali MM milion 3 akabakiwa na 7 akawehuka akaacha shule. Hana maana hata kidogo huyo
Ameuza ubunge kwa Koka kwa Mil 10, akamgawia dalali MM milion 3 akabakiwa na 7 akawehuka akaacha shule. Hana maana hata kidogo huyo
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.
Sasa hii ni serikali gani hii? Mchange anasema kwa waandishi wa habari kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Chadema. Kesi iliyokuwa mahakamani ni ya Deus kusababisha ajali na hukumu yake ilishatoka. Kwa nini huyu Mchange asihojiwe na Polisi kutoa ushahidi wake kuhusu njama hizo?
CCM kwa kweli inajivunjia heshima kwa kuwatumia hawa vijana kutoa propaganda chafu zinazodhihirisha kuwa serikali yao ni dhaifu kiasi kuwa mauaji yanayo fahamika (kama wasemavyo) yanaacha kushughulikiwa kisheria bali yana zungumzwa kwa waandishi wa habari na mikutano ya hadhara.
Sent from my iPad using JamiiForums
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.
Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.
Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.
Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.
Kwani Mchange kwny huo mkutano leo aliitisha ili kujibu tuhuma za kulipua chopa ya Dr. Slaa au kutoa tuhuma? Na km hizo tuhuma ni za kweli alikuwa wapi siku zote asizitoe au apeleke kwny vyombo vya dola? Amesubiri mpaka atuhumiwe kutua chopa ndio aendeleze makumbano? Hii ni mipasho, huyu jamaa anafaa kuimba taarabu
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.