SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi isipokuwa tu Yale majimbo kadhaa yaliopo kwenye mpango wa 4R za mama ambayo mengine yamewekwa wazi kbs kama Rombo MOSHI Siha and etc kwa CHAUMA
Na baadhi ya majimbo ya Pemba ambayo watapewa ACT wazalendo
Niseme tu kuwa uchaguzi CCM wanaungojea kwa makini ni mchakato wa kura za maoni baada ya hapo atakaye pita automatic ni MBUNGE