Naona JPM kajipanga uzuri, kamweka waziri wa sheria nguli atakayeweza kuusimamia vizuri mchakato wa hii mahakama na naamini wale mafisadi waliohusika na mabehewa feki kutoka India hawatapona hapa.Hivi Mwakyembe kateuliwa kuwa Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) au Waziri wa sheria? Inaonyesha mleta mada hata hajui tofauti za mamlaka ya kazi hizo mbili, anachojua yeye ni chuki dhidi ya Lowasa.
hata yeye atakuwa mtuhumiwa kwenye hiyo mahakama aliuza nyumba za serikali kwa hawara zake
hata yeye atakuwa mtuhumiwa kwenye hiyo mahakama aliuza nyumba za serikali kwa hawara zake
Nasikia wewe ndo ulikuwa hawara yake....turudishie nyumba yetu!
unaushahid mkuu.....au tcra unadhan wamelala?......
Naona JPM kajipanga uzuri, kamweka waziri wa sheria nguli atakayeweza kuusimamia vizuri mchakato wa hii mahakama na naamini wale mafisadi waliohusika na mabehewa feki kutoka India hawatapona hapa.
Si ndo hapo mkuu, yaani watu wanafikia hatua ya kujisahau - hawana habari kwamba Dk.Magufuli ndiye anaongoza Nchi hivi sasa, wakifatiliwa na kutiwa matatani wanalalama.unaushahid mkuu.....au tcra unadhan wamelala?......
Ninachotaka kujua ni kwa kuwa itakuwa imejulikana kuwa mwenye kosa ni wa juu je na yeye kama tunavyojua hashitakiwi kwahiyo ndio kusema adhabu yake anabeba mwingine????????Hata akithibitisha pasipo shaka kuwa hata ile kampuni iliyolipwa ni ya JK hakuna mahakama itakayoweza kumuhukumu. Hiyo ndio kinga ya rais.