wawakilishi wale wa Upinzani walikuwa wanataka SERIKALI TATU ILIPOSHINIDIKANA BASI ETI WALITOKA NA kulazimisha wafunge Bunge,,,,huo ulikuwa UZUZU MKUBWA ULIOPATA DEGREE AMBAO WATANZANIA WALITAKIWA WAWASHTAKI KWA KURA.KUNA MAMBO MEEENGI YALIWEKWA KATIKA KATIBA,NA WANGEUNGANA NA CCM WALE WENYE MISISMAMO MIKALI MBONA BAADHI YA MAMBO MUHIMU YANGEPITA???? CCM NA WENGI WALICHOKA NA HALI ILIOKUWEPO TAYARI.
Hivyo kurudi nyuma haiwezekani ni kupiga kura na ikipita warekebishe kupitia Rais mwenye msimamo kama tulienae sasa.