engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,389
- 1,418
Wafanye haraka kabla mtuhumiwa wa kwanza wa hiyo mahakama hajafa kwa parkinsonism
Angalia ucje kufa wewe tu.....nakutania aisee.
Wafanye haraka kabla mtuhumiwa wa kwanza wa hiyo mahakama hajafa kwa parkinsonism
Wale watuhumiwa wa ESCROW wote waliochota Mkombozi bank pamoja na STANBIC nao ni wahusika wa hii mahakama.
Tuanze nao, maana tumejua wa Mkombozi tu lakini waliochota STANBIC vyombo husika vipo kimya hawajulikani na pia hatua zilizochukuliwa hata kwa hawa wa Mkombozi hazipo wazi.
Tunaomba serikali ichukue hatua kwani ni pesa za UMMA zile.
hata yeye atakuwa mtuhumiwa kwenye hiyo mahakama aliuza nyumba za serikali kwa hawara zake
Watu hawaelewi mahakama hii haitahangaika na kesi za zamani itadeal na kesi mpya tu.
Hiyo mahakama itahusu yule waziri ayeliuza nyumba za serikali kwa hawara zake ?
Wale wa Escorw itawahusu pia?
Wafanye haraka kabla mtuhumiwa wa kwanza wa hiyo mahakama hajafa kwa parkinsonism
Bila shaka unamanisha jnak na mzee wa wapumbavu
Are we dealing with retrospective/retroactive law?
Ninapenda kusikia kwanza mchakato wake ili niweze kutoa neno lenye mantiki kuhusiana na Mahakama ya Mafisadi.
Yes, Ili kufanikisha adhima ya Rais Magufuli, taasisi kama PCCB na DPP lazima ziwe huru na zenye viongozi wazalendo.
Kubwa zaidi, kwa siasa zetu, nani atamfunga paka kengele kwenye hoja ya kinga ya Rais kwa sababu kubadilisha kifungu cha Katiba ya nchi kinahitaji 2/3 ya wabunge wakubali.
CHADEMA ambao hapo nyuma walituaminisha ni wapambanaji wa maslahi ya wananchi, tumewaona walichokifanya wakati wa kuteuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA. Wamedhihirisha ni wachumia tumbo tu.
Kwa sasa wabunge wa CHADEMA/UKAWA wamoja na wabunge wengi wa CCM katika kuongezewa pesa za vikao naza kununua magari.