Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Na kila alichokiumba Mungu aliona ni chema sana. ...

Wewe kwa akili yako ilivyondogo kama ya panzi, unafahamu kwamba kuchukuliwa hatua waharifu, mpaka aliyeibua hoja awe waziri wa sheria.

Bado kuna serikali hapo?

Kwa mtazamo wako baada ya Mwakyembe kumshughulikia Kikwete na Lowasa kwenye Richmond, ata step down ili waziri wa sheria awe Kafulila au Zitto Kabwe ili kikwete tena, muhongo, na mafisadi wote wa ESCROW washughulikiwe? Wakimaliza tena ateuliwe waziri mwingin ewa sheria aliyekuwa mwenyekiti wa ununuzi wa rada na mabehewa fake ili Mwakyembe, chenge na wanzao washughulikiwe?

Umaskini wa mali ni utumwa, ila umaskini wa akili ni mauti.

Pole.
 
lowassa hawezekaniki , baada ya kuingia cdm huyo majimarefu he is an international figure ni kma ponda tu mahakama itakua inatafuta vifungu vya kumwachia huru si vya kumfunga. Ukitaka ccm isipate kura milele baadhi ya maeneo fanya huo upuuzi
 
Akili ndogo sana, kwani kazi ya waziri wa sheria ni kuandaa mashtaka?
 
Hivi Mwakyembe kateuliwa kuwa Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) au Waziri wa sheria? Inaonyesha mleta mada hata hajui tofauti za mamlaka ya kazi hizo mbili, anachojua yeye ni chuki dhidi ya Lowasa.
 
Kuna sababu kwa nini Mwakyembe ameteuliwa kuwa Waziri wa Sheria, kwa waliokuwa wanakejeli kila siku kwamba ,,kama kweli Lowasa ni fisadi ni kwa nini ashitakiwi?" sasa kiu yao itakaushwa, naam, fisadi Lowasa atashitakiwa na atatiwa pingu hivi karibuni, msiwe na hofu, ile msianze tena kulia lia hapa kwamba anaonewa kwa sababu ni chadema!

Kuna watu mnapenda kua mikia...tabia za kujikomba...kimbelembele..Mara nyingi unafiki ni mwingi...kua huru.
 
wakati mwingine kablabya kuposti jaribu kufikiria Mara mbili au Mara tatu.
 
Hivi Mwakyembe kateuliwa kuwa Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) au Waziri wa sheria? Inaonyesha mleta mada hata hajui tofauti za mamlaka ya kazi hizo mbili, anachojua yeye ni chuki dhidi ya Lowasa.

Shida sio mleta mada kutojua tofauti ya hivyo vitengo anavyovizungumzia ila ni bangi mbichi anayoshinda akiitafuna kama mbuzi pori mfinyo wa kufikiri huyo
 
Kuna sababu kwa nini Mwakyembe ameteuliwa kuwa Waziri wa Sheria, kwa waliokuwa wanakejeli kila siku kwamba ,,kama kweli Lowasa ni fisadi ni kwa nini ashitakiwi?" sasa kiu yao itakaushwa, naam, fisadi Lowasa atashitakiwa na atatiwa pingu hivi karibuni, msiwe na hofu, ile msianze tena kulia lia hapa kwamba anaonewa kwa sababu ni chadema!
Japo unatatizo la uelewa ngoja mi nijifanye kama sijaliona na badala yake nikujibu kwa mtindo wa kukuuliza, hivi unavyodhani kumshitaki Lowassa kuna muacha Kikwete salama ??????? (na hapo ndio utajua kwanini unayemuita wewe fisadi hajashitakiwa na usiwaone waliojifanya hawamuoni ni wajinga.)
 
Kuchamba kwingi mwisho kushika mavi, Kikwete ana kinga ya katiba hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote alilofanya akitekeleza majukumu yake kama rais. Kwahiyo huyo mzee wa kujinyea hana pakujificha labda aende vyoo vya stendi ya Arusha.
 
Kwahiyo wewe uliyechamba kidogo ukabaki na mavi, unavyoojua kama Lowassa atasema mahakamani kwa vidhibitisho kwamba nilifanya kwa amri kutoka juu na wa juu ikadhibitishwa kweli alitoa hiyo amri bado mahakama itamuadhibu aliyetekeleza amri???????
 
Hata akithibitisha pasipo shaka kuwa hata ile kampuni iliyolipwa ni ya JK hakuna mahakama itakayoweza kumuhukumu. Hiyo ndio kinga ya rais.
 
Back
Top Bottom