Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
hata yeye atakuwa mtuhumiwa kwenye hiyo mahakama aliuza nyumba za serikali kwa hawara zakeMagu hii kasi itatuua...dah!
hata yeye atakuwa mtuhumiwa kwenye hiyo mahakama aliuza nyumba za serikali kwa hawara zakeMagu hii kasi itatuua...dah!
Wafanye haraka kabla mtuhumiwa wa kwanza wa hiyo mahakama hajafa kwa parkinsonism
Tunaomba iwe huru
kwa nini unasema ya kisasi?Hiyo itakuwa ni mahakama ya KISASI au mahakama Huru?? UHURU wake utakuwa UHURU wa namna gan???
Hiyo mahakama itahusu yule waziri ayeliuza nyumba za serikali kwa hawara zake ?
Wale wa Escorw itawahusu pia?
Magu twende taratibu baba.
Utajibiwa baada ya kuona zee la machooni (fisadi mkuu, Lowassa) likiwa linaburuzwa kortini.
Magu twende taratibu baba.
Hahaha anaweza kutuua kwa presha
Yaani kajifungia huko aliko anabonyeza tu vitufe
Mwangwi unasikika toka msoga hadi namanyele
Hii ahadi ya Mh. Rais inatakiwa itekelezwe kwa weledi tu na siyo kitu cha ajabu.
Ufisadi ni jinai kama jinai nyingine zinazoshughulikiwa katika mahakama za kawaida. Tatizo la kutoshughulikia ufisadi linatokana na kukosa utashi wa kisiasa kwa sababu wanasiasa ni mafisadi au mafisadi ni washirika wao.
Kama Rais anataka kuwashughulikia mafisadi, aweke taratibu za kuwaondoa mafisadi kwenye siasa, asafishe Takukuru na DPP, halafu mahakama ifuate. Lini mahakama zilizopo zilishindwa kuwashughulikia mafisadi?