Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

Kuna kitu haukijui kutuhusu sisi wachaga bwashee
 
Wasukuma walicho nacho ni ushamba tu lakin hata biasha ukifanya nao hata kama ni ya nafaka na usimdhulumu for sure kwako nafaka haitakosa coz ana uwezo wa kuhamisha kijiji kizima kuja kukuuzia nafaka, hata kama ni biashara ya mifugo ni wewe tu uchoke. Kikubwa tu usimlaghai utatajirika tu lakin machango kukutapeli ni fasta.
 
Wachaga wapi wametapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…