Mchaga huwezi kumfananisha na makabila Mengine

Mchaga huwezi kumfananisha na makabila Mengine

Wachaga nawakubali sana kwenye biashara hasa za vinywaji na nyumba za wageni, ila hawana mvuto kwenye siasa!
 
Kipindi hicho nilipokua sijafika uchagani na kuwajua vyema wachaga niliwasifu sana kwa kua na mioyo kujituma kusaka pesa kwa jasho,KUMBE sivyo bwana.
uhalisia wachaga karibia 90% ni washirikina balaa(hasa wale wa Rombo Yote kuanzia Mkuu,Mashati,Useri,Olele,mwika,Tarakea,) yaani kule humalizi nyumba tano ktk mtaa bila kukuta mtu taahira ambae ndo hutumiwa kuleta pesa na mali kimazingara.
Yaani Ni Shida mimi sikuamini lakini hali halisi ndo hiyo

Hauamini halafu unaandika kwamba ndiyo hali halisi.
Duh! Kweli wewe ni mbongo haswa
 
mnataka wamiliki kila idara ninyi wengine mfanye nini?kwenye kuzisaka pesa hawana mpinzani kwenye siasa komaa nayo wewe sasa.

Mwambie siasa njaa tu na umbea na ufinyo wa kufikiri......kutafuta pesa ndio mpango mzima
 
Kuna ukweli wa ushirikina kwa uande wa Rombo...kule kuna waganga wa kienyeji pia...kuanzia mwika mpaka marangu mton hakuna hata mganga mmoja wa kienyeji...huku watu wanapambana kivyao...alafu suala la ushirkina Tanzania lipo kila mahali sasa....cha muhimu ni kujituma aisee..asikuambie mtu mchaga ni mpambanaji na sio kwa kujisifu au nini..ni mazingira na historia yao...achana na Tanzania...Uganda kuna wachaga wanamiliki kiwanda cha sigara na wanapiga ela ndefu mno...Kenya ndio usiseme...wakenya wakijua wewe ni mchaga wanaeda nae kiakili koz wanajua spirit ya mchaga ni hela mbele....tusiongelee ushabiki...kielimu nadhani hawa jamaa wako mbali kuliko makabila yote sasa..kibiashara ndio usiseme,ushirikina siamini kama ndio unaowanyanyua wachaga!

kumbe unaamini matahahira wanaleta pesa?pole sana, wewe achana na story za kusikia na utuletee hapa jf mchaga anaejaziwa mapesa kwenye acount yake na tahahira ili hali yeye amekalia bao, draft, pulltable kahawa na kashata january to december.
 

Habari hiyo haijafanyiwa utafiti wowote wa kiutalam na Mzee wa Upako kageuka kuwa mtu wa hovyo hovyo kama akina Gwajima wanao lawiti wake wa watumishi wenzake!

BOT ktk taarifa za mapato ya TZ mwaka jana Dec walitoa takwimu zinazo onyesha kuwa ktk kuchangia pato la TZ ni mkoa wa Dar unao ongoza kwa 19% ukifuatiwa na MBEYA kwa 18% then Kagera na Kilimanjaro zinafuatia kwa 16% na 15% respectively!

Sasa kama Mbeya wavivu iweje iwe ya pili kuchangia pato la Taifa?Mzee wa upako ni mpuuzi wa wapuuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom