Kuwa na imani na Wazee 🤗Hapanaaaaaa, wewe unawaza uzinzi tu. Uzi hauhusu uzinzi🤣🤣
Aaaah we! Maombi yangu yana kazi maalumu🤣🤣Nimerogwaa niombee😂
Mzee gani kwamfano!!!Kuwa na imani na Wazee 🤗
Tuma sasa hivi.Yanazungumzika💪🏿
Akuuuuu! Wewe nenda kakanyage mafuta, maombi yako ni mazito sana.Nijumuishe nipate upako wako😀
Mbona kama umelewa mapemaAngalia ni nani unammudu.. Huyo ndie kibonde wako.. Hata lama ni zaidi ya mmoja wachakue wachachuke!
Ila hakikisha una msuli.. Hakikisha una kifua kipana! Hakikisha unawamudu..!
Naanza na Atoto sababu anazijua😎View attachment 3582465
Muongooooo🤣Tayari nimeweka na ya kutolewa
Huyu ni pampula, muda wote kalewa.Mbona kama umelewa mapema
Umefufukia vyupini🤣🤣Shindii acha umbea😅
Mimi huyo, huoni nilivyokula chumvi nyingi hivi 😅Mzee gani kwamfano!!!