Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,746
- 113,196
Hatimae umefufuka🤣
🤣🤣🤣 ana kilo mbili tu.Akiwa mwepesiiii🤣
NIlifungiwa mahaliHatimae umefufuka🤣
Mpaka useme🤣🤣NIlifungiwa mahali
Ndio nshasema mfufukaji 😂Mpaka useme🤣🤣
Umefufuka na dipresheni zako🤣🤣Ndio nshasema mfufukaji 😂
Hii ☝️ picha ya kipa wa arsenal David Raya umeitoa wapi mkuu?Meimosi chitchat hii😀View attachment 3582448
Kenge maji wee, arsenal bingwa 🔥
Mi mwenyewe arsenal mkuu 😂.Kenge maji wee, arsenal bingwa 🔥
Basi mpasue Mbaga JrMi mwenyewe arsenal mkuu 😂.
Hilo limeisha.Basi mpasue Mbaga Jr
Arsenal bingwa, Matyako yako
Na UEFA mnaenda kuwa nafasi ya pili, madogo mnadeka hamtaki kukaza 😂Arsenal bingwa, Matyako yako
Matyako yako nguruwe pori 😂, arsenal bingwa 🔥Na UEFA mnaenda kuwa nafasi ya pili, madogo mnadeka hamtaki kukaza 😂
Tulia psg akukaze palipolegeaMatyako yako nguruwe pori 😂, arsenal bingwa 🔥