Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Ni kweli kwani angekuwa mjane mjane tunaowajua hii isingetokea kwani inaonekana yeye ni Janet Kiwia's business profile as Chief Executive Officer at World Jet Travel Inc ambayo pia ina tawi Marekani. Hivyo huyu mama Rwaka (kama kweli ni yeye) alipima maji vibaya hapa.

Huyu mama ni al maarufu kama Lolita, amezaa na baba yake marehemu Nyaga watoto wawili Obre- wa La Liga Moshi na mdogo wake-Huyu mama ni mjanja wa siku nyingi mama Rwakatare hamuingii kwa lolote, kwa kweli hapa aliingia choo cha kiume!!
 
Kwa hiyo anahesabiwa ni mjane kwa kufiwa na baba yake ambaye ni mzazi mwenziye pia? Kumbe kuna laana hapa katikati.

Lakini mwenye eneo ni marehemu shemeji yake? Ingawa pia yawezekana naye alikuwa mmewe kama viile ilivyokuwa kwa baba yake!.

Mambo mazito haya!


Huyu mama ni al maarufu kama Lolita, amezaa na baba yake marehemu Nyaga watoto wawili Obre- wa La Liga Moshi na mdogo wake-Huyu mama ni mjanja wa siku nyingi mama Rwakatare hamuingii kwa lolote, kwa kweli hapa aliingia choo cha kiume!!
 
Hoja nyingi humu ni za wivu dhidi ya aliyevunjiwa nyumba hizo ambazo inasemekana ni za mama Lwakatare. Yawezekana akawa alijenga nyumba hizo eneo hilo kimakosa, ila basi mmiliki halali wa eneo hilo si angeweza kufanya nae mazungumzo na yeye ndio angekuwa shot caller?? Kwa lugha nyingine angemlangua kisawa sawa.. Mmiliki wa nyumba hizo "angesalim" tu amri ata angeambiwa alipe pesa kiasi fulani sababu uwezo wa kulipa hicho kiasi ambacho angetajiwa nina uhakika anao na anajua sheria hapo haikuwa upande wake. Kulikuwa na kawivu na kisasi kiasi fulani kwenye hili. Sasa sijui aliyefaidika hapa ni nani! Aliyevunjiwa nyumba hizo au aliyebaki na kiwanja na kuna uwezekano asijenge nyumba yenye thamani ya pesa ambazo angeweza kuzipata kwa kumlangua, ila nasema haya bado sijajua misuli ya kifedha ya mmiliki halali wa eneo hilo. Natumai atakuwa ni "mwananchi wa kawaida". Ni mtazamo wangu tu, na kila mtu ana wake.
 
Umejuaje eneo ni la mjane wakati Mahakama ilikuwa imetoa stop order?Unawezaje kumtukana mwenzio mburura wa kwanza kwa mawazo yake ambayo hata wewe huwezi kujustify ukanushaji wako? Unaweza kuthibitisha kwamba huyo mama hataki kuuza ama kukaa mezani na kuongelea compensation? Matusi hayajengi sifa!. Kijana wa watu hata hakuonyesha tusi zaidi ya kupendekeza mawazo yake, na wewe una lipuka na matusi. Utamaduni gani huu katika mawasiliano?

Wewe umesoma wapi?udom? Au wapi? Maana nimejibu kam alivyotoa comment. Kwahio angalia kwanza hapo juu kwnaza aliandikaje.


The King.
 
Serikali,rwakatale na huyo mwenye viwanja wote mbuluraz,issue kama hiyo ni kukaa mezani tu!! Kama Mama mchungaji kavamia kiwanja serikali ingekaa kati kufanya win win situation kutafuta mtu wa kati ananue eneo mama mchungaji apate gharama alizotumia na aliedhulumiwa apate gharama ya kiwanja serikali ipate tozo ya kodi ya manunuzi....

umeshaandika amevamia afu unataka itengenezwe win win situation??.
 
Kondoo wanachungwa ili watumike kwa faida (waliwe, wauzwe, wakatwe sufi n.k).
Wachungaji hawafanyi kazi za hasara!

na ndio maana nakumbuka kwenye Bible imeandikwa LISHA kondoo zangu. nadhani ukimwachia binadamu achunge atataka na maziwa, nyama n.k. kama ulivyosema
 
Kunta, hii habari kwamba alikuwa hataki kuitikia wito wa mahakama, umeipata wapi? Kwa hiyo amri ya kuvunjwa nyumba ni ruling halali ya mahakama? Na nini maoni yako kuhusu Stop Order ya mahakama waliyopelekewa wavunjaji waka i dis honor?

Mama hata mahakamani akiitwa alikuwa hataki kwenda hivyo uwezekano wa mashauriano yoyote kulikuwa hakuna!!!
 
Kwa maana hii, kosa la kujenga bila permit hukumu yake ni moja, kubomolewa jengo bila haja ya mchakato kupitiwa na vyombo vya sheria? Nifashukuru ukinipa kifungu hicho cha sheria nikisome nipate mwanga zaidi.

Zote hizi ni sababu mkuu. Kwa mujibu wa sheria hata kama una umiliki halali wa eneo ni lazima upate BUILDING PERMIT toka mamlaka husika. Ukijenga bila kibali hata kama una hati ya kiwanja chako wakiamua kukubomolea wapo ndani ya matakwa ya sheria, kwasababu umekiuka sheria. Hivyo hata kama aliuziwa na kulikuwa na mgogoro wa umiliki, kisheria hakupaswa kujenga permanent structure yoyote mpaka michoro yake ya ramani ipitishwe na wahandisi wa manispaa na apewe kibali cha kuanza ujenzi.
 
Uwe mpole. Kwa hiyo wewe sheria uliyosoma inakataza kumaliza mgogoro wa ardhi kwa majadiliano na maridhiano? Umeongezea mama Rwakatare kwamba hakuwa tayari kwa maridhiano. How far are you sure kama siyo kuumba story? Tatu, mimi sijawahi kusoma kabisa. Lakini kama elimu yako unayoiona ni bora, ni elimu ya matusi, mabezo na kupiga ramli, wala siihitaji. Ni maradhi.


Wewe umesoma wapi?udom? Au wapi? Maana nimejibu kam alivyotoa comment. Kwahio angalia kwanza hapo juu kwnaza aliandikaje.


The King.
 
Kwa maana hii, kosa la kujenga bila permit hukumu yake ni moja, kubomolewa jengo bila haja ya mchakato kupitiwa na vyombo vya sheria? Nifashukuru ukinipa kifungu hicho cha sheria nikisome nipate mwanga zaidi.
Mkuu hebu acha kubisha vitu vilivyo wazi bana. Hapa unatumia ubishi tu. Lakini kwa kukusaidia The Land Act of 1999, part XIV (Miscellaneous) kifungu 175, kinaongelea unlawful occupation of land. Ibara ya 2, inampa commissioner mamlaka ya kumsave mvamizi notice tu tena hata ya mdomo (ilimradi iwe kwa lugha atayoielewa) ya kuthibitisha umiliki na asipofanya hivyo anamwamuru atoke na mali zake iwe ni majengo, mazao nk. Tena imesisitiza "within anytime and subject to any conditions"! Zaidi hata kanuni zilizofuatia land Act zipo wazi kwenye hili. Commissioner hahitaji kufungua kesi eti kisa wewe umejenga bila permit.
 
jamani pamoja na kwamba wote tunapenda pesa basi tutende haki. kama ni kweli mama rwakatare alimdhulumu huyu mjane arudi akamuombe msamaha
 
Safi sana Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na maendeleo ya Makazi Bwana Alfayo Japani Kidata. Tanzania inahitaji watu wa aina yako.
Cc; Asnam
 
Last edited by a moderator:
jamani pamoja na kwamba wote tunapenda pesa basi tutende haki. kama ni kweli mama rwakatare alimdhulumu huyu mjane arudi akamuombe msamaha

THUBUTU!! Wakati bibi wa madeal deal limebuma.
 
Ha ha ha! Pesa za bure zipo, siku ya ibada. Mtoleeni Mungu

pesa si wanakusanya kwa wajingajinga wao ndiyo hizo anajengea mijumba ....atawapiga tena tena hela huyo mama waumini wake wamchangie
 
Back
Top Bottom