Katika kuonyesha kuwa Mchungaji Msigwa ni kiongozi HALALI wa wana Iringa anayekubalika, kupendwa, kuheshimiwa na nanaye heshimu na kuwapenda watuy wa Imani zote, amewafuturisha ndugu zetu Waislam ambao sasa wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufuku wa Ramadhani.
Sio jukumu langu kujua kuna Muislam au hakuna muislam kwenye hiyo picha. Ninachojua ni kuwa Mchungaji Msigwa ameonyesha kwa vitendo dhana ya upendo kwa watu wote inayohubiriwa na CHADEMA kila siku. Suala la kipimo cha nani muislam sana, nani muislam nusu, nani ni muislam-kafiri hiyo tunawaachia nyie mliona mawazo ya kidini ya kipumba.vuKwenye hiyo picha kuna mwislamu hapo? Naona watu waliovaa bargashia na kanzu tu?.Mkristo kafuturisha waislamu mkristo hapo yuko wapi mbona naona mtu kavaa tishet tu ya CHADEMA? Mbona Sioni futari wala mwislamu hapo kwenye picha? AU MACHO YANGU?
Kwani kutoa msaada nako ni kufuturisha?
Sio jukumu langu kujua kuna Muislam au hakuna muislam kwenye hiyo picha. Ninachojua ni kuwa Mchungaji Msigwa ameonyesha kwa vitendo dhana ya upendo kwa watu wote inayohubiriwa na CHADEMA kila siku. Suala la kipimo cha nani muislam sana, nani muislam nusu, nani ni muislam-kafiri hiyo tunawaachia nyie mliona mawazo ya kidini ya kipumba.vu[/QUOTE
Mkuu umemjibu vizuri Sana.Unajua Ccm walishazoea kupima watu kwa Masaburi,ndio tatizo ukiishi kwa kutegemea Ulozi hauoni thamani yawengine
Nakala THE BIG SHOW ha ha ha ha ha ha ha najua utasema hii ni photoshop ha ha ha ha.
neno tunatumika ulimaanisha wana/mnatumika kisiasa?Waislam tunatumika kisiasa
Safi sana kamanda Msigwa.
Endelea kuwaunganisha watanzania wote bila kujali imani zao. Umekuwa ni kiongozi wa mfano. Umetupa Heshma wana Chadema wenzio. Upendo uliouonyesha sio wa kawaida. Ubarikiwe sana Mheshimiwa Mchungaji Msihgwa.
Kwanza serikali inatakiwa iachane na dhana kwamba mwekezaji ni mkombozi.