Mch. Msigwa akabidhi misaada kituo cha islamic center!!

Mch. Msigwa akabidhi misaada kituo cha islamic center!!

Safi sana kamanda, hapo suala la udini halipo!!

Ila misukule ya Lumumba inakuja, haitakosa la kusema.
 
12189_707548255959157_3684430165731013944_n.jpg
10563081_707548289292487_7800131234127173521_n.jpg

ukiachia mbali kwamba msigwa ni mchungaji, lakini pia ni mbunge wa wote. Hapa kamanda msigwa akitoa futari kwa waumini wa dini ya kiislamu walio katika mfungo wa ramadhan.
anajikomba tuu huyo anachuki na waislam no moja.
 
2015 inawadia tutayaona mengi.

Huyo anajitengenezea njia ya 2015.

Mbona kabla hajawa mbunge hatujasikia wala kuona akifanya hayo?

Hapo sasa!
 
anajikomba tuu huyo anachuki na waislam no moja.

We ndo una chuki naye, kwani kalazimishwa na nani si angeweza kuacha tu. Tujenge hatua ya kupongeza watu wanapofanya vizuri hata kama hatuwataki.
 
Mnafiki mkubwa huyo. Kama yeye kweli alidhamiria kutoa kufutarisha basi ndanimwe angewaalika hata CCM pia wawepo kwanini hao viongozi tu wa Bakwata na hiyo taasisi.

Kwa wanaujua alitaka tu kujipatia umaarufu tu hapo hakuna lolote. ndio maana akatoa msaada mdogo lakin mapicha kila kona apeleke kwa wafadhwili wake akapate mshiko zaidi.

Ushindwe mchungaji msigwa na unafiki wako.

Waislam tunatumika kisiasa

Sio waislam wanatumika kisiasa BALI ni WANAFIKI ndio wanaotumika kisiasa hususan viongozi wa Bakwata. Wengine mpaka kudondosha chozi la kinafiki katika Bunge la Katiba kwa nia ile ile ya kutaka kuzidi kukaribishwa kwenye sherehe za Ikulu.

Kwenye maneno ya Mola Qur'an wametajwa hao kama wanafiki na adhabu yao itakuwa kubwa sana na fii nnar jahannam

2015 inawadia tutayaona mengi.

Huyo anajitengenezea njia ya 2015.

Mbona kabla hajawa mbunge hatujasikia wala kuona akifanya hayo?

Hapo sasa!

Acha ubaguzi bana, wakati ule hakuwa pesa utajuaje?
 
Kwa hiyo msigwa haruhusiwi kusaidia wenye shida?, au kawatunze wewe basi hao watoto

Hiyo misaada ya sukari unga biscuit haifanyi miradi hiyo kuwa sustainable.Watakula vitaishia chooni
 
Mnafiki mkubwa huyo. Kama yeye kweli alidhamiria kutoa kufutarisha basi ndanimwe angewaalika hata CCM pia wawepo kwanini hao viongozi tu wa Bakwata na hiyo taasisi.

Kwa wanaujua alitaka tu kujipatia umaarufu tu hapo hakuna lolote. ndio maana akatoa msaada mdogo lakin mapicha kila kona apeleke kwa wafadhwili wake akapate mshiko zaidi.

Ushindwe mchungaji msigwa na unafiki wako.

Barubaru u hali gani sheikh wangu? Hakika nilizimisi bayana zako mujarabu bila kuweka ufedhuli kama wa yule mhuni kahtaan.

Sasa leo sheikh wangu umeniangusha! Hii sio busara yako tuliyoizoea Alhabiib Barubaru. Focus ya Chadema ni kuwaunganisha Watanzania wote pasi na tofauti ya dini detu. Chadema imekuwa ikifanya hivi na itaendelea kufanya hivi siku zote. Alhaji Barubaru karibu Chadema uwe part ya mshikamano wa watanzania. Karibu u join timu ya wapenda umoja na amani, Chadema.

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Hiyo misaada ya sukari unga biscuit haifanyi miradi hiyo kuwa sustainable.Watakula vitaishia chooni
Huyo Jakaya Kikwete tu ameshindwa kukupa mradi sustainable licha ya kuzunguka dunia nzima. Sembuse Msigwa? Ukiwa na akili za chooni utawaza kichooni chooni tu. Sasa ulivyo pimbi hujui kuwa Msigwa ameonyesha kwa vitendo dhana ya upendo kwa watu wote?
Ngoja Jakaya aje na yule MNIKULU uone atatoa mbuzi wawili na Sabuni za Mche katoni tatu kwa watoto watakaochaguliwa kuwa YATIMA kisanii ndipo ujue Msigwa na Mkw€re nani ana upendo
 
Back
Top Bottom