Mch. Msigwa akabidhi misaada kituo cha islamic center!!

Mch. Msigwa akabidhi misaada kituo cha islamic center!!

Unafiki tu.

Wanaotoa vitu kwa nia safi hawawez kujitangaza.

Kama wewe unatoa kwa kutarajia malipo kwa mungu wako unatangaza akuone nani??

Hiyo haiwez futa kwamba chadema ni cjama cha kikanda kidini na kikabila.

Chuki zenu dhidi ya waislam nyinyi wakristo zinafahamika.

Tafuteni wa kumuongopea.

kikwete anapotoa mbuzi na mchele kwa watoto yatima kwa kujitangaza kumbe anakuwa hana nia safi? kumbe maccm mnapotoa vitu kwa kujitangaza mnakuwa na nia ovu ya kutafuta huruma kwa watanzania? wakengeufu, keleb na maibilis wakubwa na migamba yenu!!
 
Ukijenga madarasa wananchi wenye njaa hawatakaa wakukumbuke. Unadhani kwa nini CCM wanagawa pilau na sio madawati, madarasa, madaftari na kalamu huko vijijini?

jibu zuri sana. kula LIKE mkuu.
 
Haya ndio mawazo ya Vijana wa karne hii wa Kitanzania. Chadema itaendelea kuwaunganisha watanzania wote pasi na imani zao za kidini na mikoa na kanda wanazotoka. Chadema imekuwa kiungo muhimu cha watanzania wote na itazidi kuwa kiungo kwa kila mtanzania. Sera za chadema zimejengwa kwenye misingi ya UTU, UMOJA, MSHIKAMANO na MAENDELEO. Wajinga wenye mawazo kama haya hamuwezi kukosekana kwenye jamii. Kama mnajibagua wenyewe kwa wenyewe mtaacha kubagua wengine. Sisi Chadema tunasema yeyote mwenye moyo wa kuiunganisha Tanzania kuwa moja kwa maendeleo ya Watanzania wote tunamkaribisha kwa mikono miwili.
Watakaodhani kuwa chadema ni nafasi yao ya kuvimbisha vitambi, kukejeli na kusaliti juhudi za watanzania, kufifisha umoja, uzandiki, unafiq, udini, ukabila ukanda na umajinuni mwingine wote, Chadema haitasita kuwatimulia mbali. Tumetimua na tutaendelea kutimua mbwa yeyote atakayetaka kutuvuruga.

Huwezi kuchukua chama cha kanisa kisha kiujanja ujanja ukiite chama cha siasa.

Hilo mmefeli.
 
Back
Top Bottom