Mch. Gwajima amgomea Makonda


Mimi siyo mshirika wa Gwajima ila ninataka tu nikuambie hujui maana ya Pentekoste. Mwulize mxhungaji wako ili usizidi kuonesha ujinga wako hadharanim
 
Two misfits in a tug of war!
 

Tupe hapa ushahidi siyo una harisha hovyo kama bata,Weka ushahidi wa unacho kunya hapa
 
Kwani kutokuja kwake na organization yake
Kunahusiana nn??

Yeye si ndio mhusika mkuu wa mambo ya usajili, wa hesabu zote na mali zote na taarifa zote za hilo kanisa?
Na si ndiye mtendaji mkuu na msemaji wake?.Kule mkuu wa wilaya akimwita kukataa kwake kuna athari kubwa kwa kanisa.Kwa sababu Gwajima ndiye hilo kanisa na hilo Kanisa ni Gwajima akigoma Gwajima ni kanisa limegoma.
 
Makonda should shut up, this issue is in police hand

Lingekuwa mahakamani ndio marufuku kuongelea lakini likiwa mikononi mwa polisi ruksa kuliongelea na kumtaka Gwajima aende.Inaonyesha hujui sheria wewe.Sasa hivi ruksa.Makonda will not shut up.
 
Mimi sio Flora Mbasha kuwa nimeachika kwa Gwajima hivyo nina Chuki binafsi za kuachika.nitue.

I don't care who and what you are but the truth remains that you hate Gwajima for ni apparent reason. Maybe it is because you belong to diffrent religions believing in different Gods.
 
Kupelekwa tu police kazimia hoiii,huko akienda si atakufa kabisaaa bora amejua asiende
 
I don't care who and what you are but the truth remains that you hate Gwajima for ni apparent reason. Maybe it is because you belong to diffrent religions believing in different Gods.

Nobody is loved or hated by anybody in this country because of religion.Gwajima is hated because of using abusive language!!! You want to twist things and declare Gwajima a saint while he is not.
 
Gwajma ni jembe kama Tundu lissu.

Tafuta mwingine wa kumlinganisha na Gwajima. Kama Gwajima ni jembe, basi Lisu ni Bulldozer!! Gwajima hana utii hata kwa injili anayoihubiri mwenyewe. Biblia inasema tuitii mamlaka iliyopo maana mamlaka halali (kama ya Makonda) hutoka kwa Bwana.
 
Makonda kamtega Gwajima na sasa Gwajima kaingia kwenye mtego kirahisi tena wafuasi wake badala ya kushauri vizuri wanamchochea azidi kujiharibia zaidi.

Acheni kupoteza muda fanyeni kazi nchi hana pesa.
 
Acheni kupoteza muda fanyeni kazi nchi hana pesa.

Usiseme nchi haina hela sema wewe huna hela hata Gwajima tunayemjadili ana hela kibao.Wewe kama huna shauri yako na ulofa wako.Nchi ina hela ndio maana akina Gwajima wanazo.Ila wewe kama huna pole sana.
 
Hivi kunakuwaga na maombi ya kisasi?!makonda huyu afundishwe misingi ya uongozi(rule of law) yeye sio polisi wala mahakama

mkuu kwa sheria na taratibu zetu kikatiba ni udikiteta na ukoloni mamboleo,huyu bwana paul makonda ana meno mkuu wa kumkamata mtu na kumtia ndani kwa kadri apendavyo,

jeshi la polisi lipo chini yake mkuu,ndio maana unashuudia virungu vya polisi vikifanya kazi kwa upinzani,maana polisi wetu hufanya kazi kwa maagizo ya hawa mabwana,

kama ukimsikiliza mh ngwajima alisema alipoitwa polisi maojiano yake yalikua tofauti na kosa alilofunguliwa,

ndio ujue,nyuma ya panzia kuna kitu inatafutwa juu ya mh ngwajima,kumtukana kadinal pengo,imetumikatu kama chambo,ndio maana hata ndugu,makonda akijieleza barua aliompelekea mh ngwajima,akitaka kumwoji juu ya huduma na mambo wanayo mtilia shaka,hakika ihi ndio nchi yetu, tanzania na tamthilia zake,
 

Mbona umekomaa na hii issue? wewe ndiye uliyemtukana Lowasa na kumpiga Warioba?
 
Mkuu naona aliyekuwa kakuroga labda amefariki, sasa akili zako zimerudi hongera zako sana.

Hivi huyu Makonda si ndiye alimpiga mzee Warioba? Afadhali Gwajima alishashtukia mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…