Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Makonda mpiga watu aende kufanya nn? pumb.f. zake huyu dogo.
Gwajima ameitwa na Mkuu wa Wilaya, labda tukisema hivyo itasound kidogo. Hata katika biblia tunafundishwa kutii mamlaka za nchi. Gwajima angeenda tu, pengine DC asingekuwa na jipya na kikao kingeisha salama