Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 19,052
- 49,690
🤣🤣🤣Mzee hukuwa na bando ama mbona mc pilipili yuko kanisani kwa masanja tangu kanisa limeanzishwa
🤣🤣🤣Mzee hukuwa na bando ama mbona mc pilipili yuko kanisani kwa masanja tangu kanisa limeanzishwa
Hawa roman catholic wanaodeclare watakusamehe dhambi kisa amevaa joho na ameend academy waacheni wahubir na waoHaya makanisa ya walokole yangepigwa marufuku.. Watuachie tu Roman catholic, Anglicana na KKKT yanatosha.
Kinachozungumziwa ni demokrasia, kwenye hizo taasisi maamuzi hufanywa na kupitishwa na wengi. ..na ni baada ya majadiliano.Hawa roman catholic wanaodeclare watakusamehe dhambi kisa amevaa joho na ameend academy waacheni wahubir na wao
Haya makanisa ya walokole yangepigwa marufuku.. Watuachie tu Roman catholic, Anglicana na KKKT yanatosha.
Unapigwa neno, baadaye unatoa sadaka; duniani ni kuishi kwa akili.
Hamna muhuni humuUtakuja kuambiwa una mapepo na wahuni wa hapa JF.
Sawa mtumishi.hamna muhuni humu
MC Pilipili ameamua kuachana na mambo ya dunia na kujiunga na akina mchungaji Masanja mkandamizaji katika kuutumikia ufalme wa mbinguni.
Eatv!
mbavu zangu mie jomoneeeh khaaah.Ukitaka kupiga hela za waafrika watajie Mungu tu, yaani ukiwa na makondoo wako 200 kila wiki, lazima uishi vizuri.
Samahani, Mkuu!Nimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).
Roman naijua vzuri kuliko hao walokole pengine kuliko wewe,
kuanzia history yake mpaka leo.
Utapeli ni utapeli hata upitishwe na watu million.
Roman kunademokrasia gan?
Kanisa lililo ua zaidi ya watu million 50 demokrasia imeanza lin huko?
Hizo unazodai huduma za kijamii ni huduma au biashar, unazijua gharama za shule, hospitali zao?
Sadaka yao iko directly linked na vatican.
Huko ndio kunawapigaji kuanzia viiongozi wa jumuiya mpaka kanisa
Bora walokole wanatumia hap hap.
Nidanganye kuhusu kanisa jingine sio RC.
Yule sister aliye commit suicide bugando hospital unajua sabab?
Mbona una makasiriko sana ..ulikua unasomea umishenari wakakufukuza nini? Maana unavyoandika utadhani wewe ndo mtakatifu wa mwisho usio na mawaaNimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).
Roman naijua vzuri kuliko hao walokole pengine kuliko wewe,
kuanzia history yake mpaka leo.
Utapeli ni utapeli hata upitishwe na watu million.
Roman kunademokrasia gan?
Kanisa lililo ua zaidi ya watu million 50 demokrasia imeanza lin huko?
Hizo unazodai huduma za kijamii ni huduma au biashar, unazijua gharama za shule, hospitali zao?
Sadaka yao iko directly linked na vatican.
Huko ndio kunawapigaji kuanzia viiongozi wa jumuiya mpaka kanisa
Bora walokole wanatumia hap hap.
Nidanganye kuhusu kanisa jingine sio RC.
Yule sister aliye commit suicide bugando hospital unajua sabab?
Yawezekana unajuaj.Mbona una makasiriko sana ..ulikua unasomea umishenari wakakufukuza nini? Maana unavyoandika utadhani wewe ndo mtakatifu wa mwisho usio na mawaa
Mkuu, Nimeku-PMYawezekana unajuaj
Leso ya kawaida 500 ya upako 2000Aanze naye kuuza mafuta ya alizeti na maji ya canadian , yaani hii nchi ina matatizo mengi sana kuliko ujuavyo, wengine na chumvi ya neel wanauza, wengine sijui vijitambaa gani yaani ni uganga uganga tu.
Mungu awasaidie tu kuujua ukweli , na kuujua ukweli bila kujishughulisha kuutafuta ni ngumu , unaishia kuwa ndondocha tu wa manabii na mitume feki.
Duu jiwe gizani hiliNimebatizwa , kommunio na kupew kipaimar na askofu Antony mayala(RIP).