Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
Lily ndo wify au?? hivi watu wanasusia mcba kwa misingi ipi mbona sielewi??? kwamba wakienda na wao wataonekana wazinifu au wamemsapoti marehemu Lema??? hebu nisaidieni hapo plz!!!
mie sielewi kabisa, watu wazima wanafanya mambo ya kijinga hivyo, kwani kususia watafaidika nini wakati kama kuzikwa atazikwa tu...kanisa wasusie, majirani nao...mweh