MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Hee!!Yesu wangu. Ndiye yule Lema ninayemfahamu. Mbula. Anyway siku zilifika. Kwa muda wa miaka 9 jamaa anatafuna. Kila mwisho wa mwaka. Inamaana asingezini siku hiyo asingekufa? Hapana. Unachopanda ndicho unachovuna. Alianza kupanda tangia 2001 na amevuna 2010. Toba Mola wangu. Tusamehe sisi tunaopenda kuzini na hasa na wake za watu. Jamani hehehe.

Kama miaka 6 iliyopita nilikuwa na dame mmoja pale Crane Moshi pale. Sisi wakazi wa Arusha lakini tukaamua tukakutane Moshi. Karibu niaibike. Maana nilipiga konyagi chupa 3 kubwa halafu nikaondoka majira ya saa kumi kurudi Arusha. Kufika USA nikaongeza dozi. Nikaendelea na safari.Wee kwani nilifika mbali. Ile barabara ya moshi kumbe nimesinzia. Halafu niko peke yangu. Saa ngapi sikujikuta kwenye mtaro na kelele za watu ndiyo zikaniamsha. Ilikuwa aibu kweli. Nashukuru mUngu hawakunidhuru. Wasamaria wema wakanisaidia kunisindikiza mpaka Arusha mjini. Nilikoma kabisa. Hadi leo.Mungu ni mwema. Jamani acheni.

Hili la Lema lasikitisha kwweli.
 
jamaa huyu kanifurahisha maana kafa kishujaa, kang'ang'ania kumkwamua mbuzi aliyegoma mwisho kakwama yeye!!! na sikio la kifo halisikii dawa, licha ya kuambiwa bwana wee tigo itakutia raha hadi uchanganyikiwe yeye kang'ang'ania tu!!!! yaani kafa kishujaa akipata ile kitu roho inapenda!!! mie naihurumia familia yake ambayo itakuwa kama imejinyea mbele ya hadhara kwani wengi watawatazama kwa jicho pembe kidogo hadi watakapokuja kusahau kwa kweli itawachukua muda sana. Kwa niaba ya wazinzi wote napenda kuwapa pole mjane na watoto wa marehemu, aidha namnpa pole yule hawara ambaye amekatishwa uhondo kwa ghafla sana. swali: hivi huyu nae tunamuomba MUNGU amlaze pema peponi? au tunafanyaje???
 
We angekufia kifuani ungemwita shujaa?
 
Kuna mama anaitwa Devota Masawe tena mke wa mtu kafia Rombo Green view pale Shekilango juzijuzi akiwa anakamuliwa na hawara. Inaelekea wachagga wanachangamkia sana pande hizi. Mbona ni wao tu? Mwaka jana bwana MC Lema, mwaka huu Mrs Masawe, wachagga badilikeni!
 
Even Us Sinners

God demonstrates his own love for us in this: While we were still sinners, Christ died for us. -Romans 5:8 (NIV)

Read 1 John 4:7-21
 
Heshima kwako Nyamayao,

Samahani jana nilikuwa na shughuli za nje kiasi kwamba nilisahau kabisa kuifuatilia hii mada.

Kanisa liliamua kumzika MC Lema kwasababu habari zilizoandikwa kwenye magazeti hasa Mwananchi zilikuwa zimejaa ushabiki na pengine uhasama baina ya marehemu na mwandishi.

Napenda kukujulisha kwamba MC W Lema alizikwa na kanisa kwa heshima zote za kanisa ingawa kulikuwa na maneno ya chini chini kwamba mwanamke anayedaiwa kutembea na marehemu alikuwa ni mtoto wa mchungaji ndio maana kanisa likatoa upendeleo.

Mwandishi wa gazeti la mwananchi alishutumiwa sana jinsi alivyoandika habari kwa ushabiki.mwandishi alikuwa na uhakika gani marehemu alishafanya **** mara moja na mara ya pili ndipo alipozidiwa,kwamba uenda alitumia viagra wakati hapakuwa na kidhiti chochote polisi kuthibitisha kauli yake pia marehemu hakufanyiwa postmoterm kubaini kama alitumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume.

Do Kanisa nalo lilitumiwa kufunika; eeh kweli!
 
SASA nitamuua nani wakati waifu mwenyewe KWA RIDHAA YAKE AMEAMUA KUVUA!

mbaya zaidi amekutwa kwenye nyumba ya kulala wageni,meaning kwamba angespend hapo hata siku mbili WHICH IMPLIES THE possibilities za kutotumia kondom,WHICH JUSTFIES KWAMBA kuna uwezekano watoto mlionao sio wako,WHICH WILL MEAN TO ME kwamba ni lazima nikachek DNA...

yaani SCIENTIFICALLY kuna so many implications.....!tuwe wakweli tuache siasa

Which means kuwa kuna watoto wanaweza kugundulika kuwa wa marehemu na hivyo ukalazimika kuchukua hatua zaidi. Which means unaweza kuishia kumwacha huyu mwanamke mkware na wanaharamu wake, which means unaweza ukajikuta unalazimika kuoa mke mwingine, which means wale watoto wako halali waliobaki watajikuta wanalelewa na mama wakambo, which means ................ Dah!! You are right Teamo kuna implications nyingi sana ukilitafakari hili kwa undani.
 
Kuna mama anaitwa Devota Masawe tena mke wa mtu kafia Rombo Green view pale Shekilango juzijuzi akiwa anakamuliwa na hawara. Inaelekea wachagga wanachangamkia sana pande hizi. Mbona ni wao tu? Mwaka jana bwana MC Lema, mwaka huu Mrs Masawe, wachagga badilikeni!

...Mkuu huyu Devotha Massawe ni yupi huyo? Isije ikawa ni yule ninayemfahamu mimi???

Hivi ni yule mrefu sana mweupe make kuna mc alishakuwa katika shughuli ya lowasa pindi amefiwa na baba yake kule monduli kama ndo huyo duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom