MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Nshazeeka ujue. Vissible au? Hahaha! Unantafutia ugomvi ujue. Siku hizi ameshakuwa legend!

hahaaa ungekuwa mwanasiasa ningekuonya kwa 'siasa haimtaji mtu'...maana naona unakoelekea sio hahaaa!!!

carmel usimchokoze Xpini na unajua saizi ya mdomo wake
 
Poleni familia ya MC. Kufa ni wajibu. Yote yaliyotokea yapo kwenye Biblia - Hatujui saa wala siku ...... nadhani MC au huyo mama angejua saa na siku si ajabu siku hiyo asingekwenda. rest in peace.
 
Duh, tatizo jamaa alikuwa anataka kumkomoa bibie ndio maana akawa anamywea konyagi kabisa na pengine alishatanguliza supu ya pweza pia na alishamaliza dozi ya dawa za kurefusha uume........mkamia maji....
 
Mke na Mume wa tukio hili la kuhuzunisha wote wanastahili pole. lakini yule Bi mkubwa aliyefiwa na mpenzi wake baada tu ya 'staili nyingine' naye anastahili pole. Naamini kuwa alichanganyikiwa mno kiasi cha kutoa siri kwamba aliombwa na marehemu staili nyingine. Haya yalikuwa mambo ya chumbani mno. Pengine angepata ujasiri kidogo tu angefanya kama yule mwanaume tuliyemsoma kwenye magazeti kama wiki moja kabla ya tukio hilo ambaye mpenzi wake alipomfia guest house alisubiri jinoi akatoka na kuwaambia reception kuwa anaenda kutafuta chips ikawa imetoka hiyo hadi maiti ilipogunduliwa kesho yake asubuhi.
 
Tayari tumeshamzika, Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
 
ngongo jamani sema kitu bac.......

Heshima kwako Nyamayao,

Samahani jana nilikuwa na shughuli za nje kiasi kwamba nilisahau kabisa kuifuatilia hii mada.

Kanisa liliamua kumzika MC Lema kwasababu habari zilizoandikwa kwenye magazeti hasa Mwananchi zilikuwa zimejaa ushabiki na pengine uhasama baina ya marehemu na mwandishi.

Napenda kukujulisha kwamba MC W Lema alizikwa na kanisa kwa heshima zote za kanisa ingawa kulikuwa na maneno ya chini chini kwamba mwanamke anayedaiwa kutembea na marehemu alikuwa ni mtoto wa mchungaji ndio maana kanisa likatoa upendeleo.

Mwandishi wa gazeti la mwananchi alishutumiwa sana jinsi alivyoandika habari kwa ushabiki.mwandishi alikuwa na uhakika gani marehemu alishafanya **** mara moja na mara ya pili ndipo alipozidiwa,kwamba uenda alitumia viagra wakati hapakuwa na kidhiti chochote polisi kuthibitisha kauli yake pia marehemu hakufanyiwa postmoterm kubaini kama alitumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume.

mkuu asante kwa taarifa lakini hapo pa red vp?
 
eti staili yenyewe mbuzi kagoma kwenda ikamtoa uhai jamani duniani kuna vituko
 
hiyo ni ajali kazini, kama zilivyo ajili nyingine.
 
Heshima kwako Nyamayao,

Samahani jana nilikuwa na shughuli za nje kiasi kwamba nilisahau kabisa kuifuatilia hii mada.

Kanisa liliamua kumzika MC Lema kwasababu habari zilizoandikwa kwenye magazeti hasa Mwananchi zilikuwa zimejaa ushabiki na pengine uhasama baina ya marehemu na mwandishi.

Napenda kukujulisha kwamba MC W Lema alizikwa na kanisa kwa heshima zote za kanisa ingawa kulikuwa na maneno ya chini chini kwamba mwanamke anayedaiwa kutembea na marehemu alikuwa ni mtoto wa mchungaji ndio maana kanisa likatoa upendeleo.

Mwandishi wa gazeti la mwananchi alishutumiwa sana jinsi alivyoandika habari kwa ushabiki.mwandishi alikuwa na uhakika gani marehemu alishafanya **** mara moja na mara ya pili ndipo alipozidiwa,kwamba uenda alitumia viagra wakati hapakuwa na kidhiti chochote polisi kuthibitisha kauli yake pia marehemu hakufanyiwa postmoterm kubaini kama alitumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume.

Kwani mwanamke si ndiye aliyeeleza mabo yalivyokwenda
 
Heshima kwako Azikiwe,

Si kweli mwandishi aliamua kwa maksudi kutia chumvi na pilipili ili kuuza gazeti.Ni kweli Lema alikuwa guest na mwanamke amabe hakuwa mke wake,mpaka Lema anazikwa mwanamke bado alikuwa ndani kwaajili ya usalama wake sasa unataka kuniambia mwandishi wa habari nae alikuwa ndani na kama alikuwa ndani bado isingekuwa raisi kweke kumuhoji mtuhumiwa kwasababu ya jinsia zao ni tofauti.

Jana nililetewa gazeti la Sani ambalo limejaribu kupotosha umma kwa kutoa picha za watu waliokuwa chumba na kudaia eti ndio marehemu Lema,kwa sisi tunaomfahamu marehemu mara moja tuligundua zilikuwa ni picha za uongo.Magazeti siku hizi yanafanya hila kubwa ili kuweza kuuza habari za kupikwa.
 
tunashukuru mungu kama mazishi yameisha kwa amani
tutajifunza kupitia hili
 
Duh! Haya mambo jamani! Sasa hiyo style nyingine aliyopewa jamaa mpaka anapoteza uhai ni ipi? au alipewa tigo makamuzi mpaka akapoteza muelekeo? Dunia ina mambo ya ajabu kabisa.
Kumbe TIGO inasababisha kifo? Basi naachana na mtandao huo ikithibitika TIGO ndiyo ilisababisha. Sijasikia VODA, ZANTEL na ZAIN inaleta maafa. Aliongea sana hadi kuishiwa nguvu na kufa kwa sababu ya unafuu wa bei za TIGO? Msiniambie ni lugha gongana!!

Leka
 
Back
Top Bottom