MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

kwani yeye akininyima uhuru c ananitesa, hiyo adhabu inamkomeshaga kweli, asubuhi yake anajichekesha weee....

Una bahati hujaolewa na mimi! Ungekuwa umenipa kibali cha kudumisha mila na kina Eliza
 
You see! Nilitaka nikugongee senksi ujue! Ngoja niende bak (umesahau mambo ya bak & foth) Hahaha! Nahitaji valuu fasta!

nigongeee i demand it Xpin vinginevyo utapata adhabu za kinyamayaonyamayao!!!
 
nigongeee i demand it Xpin vinginevyo utapata adhabu za kinyamayaonyamayao!!!

Umeshakagua lakini au unabwabwaja tu? Senksi uliipata baada ya kuediti ile posti! Kakague maana nakujua we kichwa ngumu thana! LOL!
 
Umeshakagua lakini au unabwabwaja tu? Senksi uliipata baada ya kuediti ile posti! Kakague maana nakujua we kichwa ngumu thana! LOL!

bliv u me, i never edited nothing, sema wewe bongo ililala doro b4 upate valuu!!!
 
bliv u me, i never edited nothing, sema wewe bongo ililala doro b4 upate valuu!!!

Na wewe kumbe slow lena? Nimeedit ile yangu bana, nliyotaka untake radhi! Baada ya kuedit ndo nikakugonga na senksi. Yaani imeenda kinyumenyume.I mean Nimekugongea kwa nyuma!
 
Una bahati hujaolewa na mimi! Ungekuwa umenipa kibali cha kudumisha mila na kina Eliza[/QUOTE]

ndio wakina nani hao tena?.....tungekutana vichwa maji wote tungewaharibu watoto, bora haikutokea.
 
ndio wakina nani hao tena?.....tungekutana vichwa maji wote tungewaharibu watoto, bora haikutokea.
Hahaha! Angalau mi kichwa yangu inapungua maji nikimimina valuu za kutosha kwenye huu mkitambi wangu! LOL!
 
Pole MC kama mbinguni ni kama sero/sell ukiulizwa umekujaje huku sema muulizen mwanamke
 
Nasikia kanisa la kiluteli limeingia kwenye utata wa kumzika jamaa.
 
My! My! My! Haya bana karibu. Kama nakujua vile!
Umeshtuka eeh? unamkumbuka yule aliyesema katoswa na dem wake? halafu akaja na thread ya kutafuta mchumba hapa, anaitwa nani vile?
 
Umeshtuka eeh? unamkumbuka yule aliyesema katoswa na dem wake? halafu akaja na thread ya kutafuta mchumba hapa, anaitwa nani vile?

Nshazeeka ujue. Vissible au? Hahaha! Unantafutia ugomvi ujue. Siku hizi ameshakuwa legend!
 
Na wewe kumbe slow lena? Nimeedit ile yangu bana, nliyotaka untake radhi! Baada ya kuedit ndo nikakugonga na senksi. Yaani imeenda kinyumenyume.I mean Nimekugongea kwa nyuma!

hahaa hata mi ninatumiaga stimulanti japo si valuuu kama wewe hahaaa!!!

anyway hata mi nimezimiminina senks kwa sana tu na si kawida yangu (u knw me vile mchungu ka klorokwini)
 
Back
Top Bottom