Mbwembwe za Stand United na Mbunge wao

Mbwembwe za Stand United na Mbunge wao

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
stend.jpg
new.png
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga.
 
Hatari sana kwa maisha ya watu!!!Inatia mashaka kuwa Mh.Mbunge anatanguliza misifa zaidi ya kujali maisha ya wapiga kura wake.
 
Lol! Jamani kuna watu hawajipendi.
Hata kama ni ushabiki wa namna hii hapana.
 
Je Yanga waliogoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo tuwaitaje?

Wasoma alama za nyakati walizisoma mapema wakaona wakiingia tu ni sare ama kufungwa.
 
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani inabidi watoe tamko kama hii ni sahihi au la.....hizi ni sifa za kijinga na upumbavu wa kiwango cha juu mno kupakia kwenye kijiko na kunyanyuliwa juu namna hiyo

WAMESTAHILI KUFUNGWA
Hivi ni kumbe ni kosa unatumia kinyume na matumizi yake.
 
Lol! Jamani kuna watu hawajipendi.
Hata kama ni ushabiki wa namna hii hapana.

Umeonna mtu anapaki mvx wake pembeni anaingia kwenye kijiko hivi akianguka nae wampeleke India .
 
Yaani mbunge (mtunga sheria) anaruhusu upuuzi huu wa ukiukwaji wa usalama wa raia kutendeka...!!!

Hii nchi hii...khaaa!!!
 
Huwezi kuwa na akili mbovu hivi na ukacheza mpira....kumbaf
 
Akili za kushikiwa kabisa hizi

Alafu ndo Naibu Waziri badala ya kuwa mfano wa kukemea haya mambo kweli viongozi wetu Baadhi ni viraza nimeamini alafu ukute yeye ndo alikikondi tena mbaya zaidi amekikodi kifisadi,
 
Back
Top Bottom