Mbwembwe za Stand United na Mbunge wao

Mbwembwe za Stand United na Mbunge wao

Hivi trafic hawakuliona Hilo katapila? Huu ni uvunjifu wa sheria za barabara. Mbaya zaidi mbunge ndo anaongoza uvunjifu huo.

Umesahau na kumalizia na cheo chake kingine Naibu Waziri.
 
Ha!ha!ha! Hivi huyu si ndo Steven Masele pamoja na hizo mbwembwe za kuatalisha maisha wakachezea Kichapo cha Tatu bila najua uko humu sio vizuri hii kitu msirudie tena.
 
Hivi trafiki walikuwa wapo kwenye mahaba hawakuon hii nini?
Kwanza hiyo FEL ni mchina,Pili hapo ni Hydraulic madhalani ingefeli ndio maana walipigwa.
 
Hizi ndio akili za wabongo, wakiletewa vyandarua vya kujikinga na mbu wanavulia samaki. Ona sasa, bara bara mbovu, tinga tinga wanaenda kuvutia bangi.
 
Hivi trafic hawakuliona Hilo katapila? Huu ni uvunjifu wa sheria za barabara. Mbaya zaidi mbunge ndo anaongoza uvunjifu huo.
Sorry mdau hiyo sio katapila hiyo ni XGMA na inaitwa FEL machine kirefu ni Front End Loaders kithungu.
 
Sorry mdau hiyo sio katapila hiyo ni XGMA na inaitwa FEL machine kirefu ni Front End Loaders kithungu.

Kiko;oni kigumu acha tu tulitohoe ilo neno liwe Katapila.
 
Umeonna mtu anapaki mvx wake pembeni anaingia kwenye kijiko hivi akianguka nae wampeleke India .

Si unaijua tena serikali yetu.

Ila october 2015 ndio inayomfanya afanye yote hayo pasi kujua madhara.
 
Back
Top Bottom