Mbwembwe za ndege zimeishia wapi?

Mbwembwe za ndege zimeishia wapi?

Tulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.

Sisi wachache kina Quinine, barafu, kina Zitto tuliwatahadharisha mapema, tuliwaambia MATAGA biashara ya ndege ni ngumu sana inahitaji back up kubwa ya Serikali hatukueleweka, OK, sasa midege haina route za nje imepaki tu airport mingine ikiishia kuzunguka Kibondo - Ngara kwa hasara, tumebaki kuzindua Rwandair ikibeba mizigo ya samaki Mwanza kupeleka Ulaya.

MATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni.
Mimi huwa nasema hivii? Kitu kuwa nacho baba kuliko kutokuwa nacho, na hizo pesa zilizonunulia hayo makitu zisingelinunua zikaishia kwenye midomo ya mumiani, sasa hapo kipi bora?

Na tuseme tu kwamba hakuna lolote la maana kwa wingi wake linalofanywa na awamu ya 5 na watu wa aina yako wakaunga mkono, sijawahiona wala kusikia!

Sana sana ni kutoa mabango tu ya kusahihisha kwamba asingenunua hichi akafanya hichi!

Tumewapa kura wakapata madaraka kwa ridhaa yetu, wanayoyafanya wanafuata ilani zao walizojipangia na sisi raia tunafurahi kwa kuona wanachosema wanakitenda na kukitekeleza, nchi imebadilika pakubwa kwa muda mfupi na maendeleo ya kweli yanaonekana.

Kama hayo madege hayaleti faida leo, basi yapaki na kesho yatapata tu cha kuliingizia faida taifa.
 
Tulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.

Sisi wachache kina Quinine, barafu, kina Zitto tuliwatahadharisha mapema, tuliwaambia MATAGA biashara ya ndege ni ngumu sana inahitaji back up kubwa ya Serikali hatukueleweka, OK, sasa midege haina route za nje imepaki tu airport mingine ikiishia kuzunguka Kibondo - Ngara kwa hasara, tumebaki kuzindua Rwandair ikibeba mizigo ya samaki Mwanza kupeleka Ulaya.

MATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni.
Kwa akili hizi ndio maana ufipa hadi leo bado wanapanga kwenye banda la kuku.
 
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Taratibu hazikufuata A.K.A. CAG ndevu ndefu.
 
Hawa watu ni wa ajabu sana mkuu, mimi sio mshabiki wa vyama vya siasa ila kama mleta hoja ni mpinzani basi kuna shida na aina ya upinzani tulio nao nchini.

Kupinga kila kitu ambacho kinafanywa na mpinzani wako kisiasa bila sababu za msingi, kutasababisha mtu udharaulike wewe na kundi lako lote na mwisho itaonekana ule umuhimu wa kuwa na hoja m-badala kutoka kwenye makundi mawili yanayokinzana kisiasa kwa maendeleo ya taifa haupo kabisa.
Unataka wakikosea tusiseme eti tutaonekana tunapinga kila kitu.
 
Hivi janga la Covid-19 hujui kama limeleta athari kubwa sana, na kuathiri usafari wa anga pia, unachokosoa hapo ni nini, usomi wenu huwa mnasomea nini huko mashuleni mnashindwa hata kutoa tasmini za hapa na pale
Kwani Tz Covid ilitupiga??
 
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Ni nani aliyekudanganya kuwa ununuzi was ndege ulikuwa ni kwa faida ya Watanzania?
 
Tulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.

Sisi wachache kina Quinine, barafu, kina Zitto tuliwatahadharisha mapema, tuliwaambia MATAGA biashara ya ndege ni ngumu sana inahitaji back up kubwa ya Serikali hatukueleweka, OK, sasa midege haina route za nje imepaki tu airport mingine ikiishia kuzunguka Kibondo - Ngara kwa hasara, tumebaki kuzindua Rwandair ikibeba mizigo ya samaki Mwanza kupeleka Ulaya.

MATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni.
Bado zinaatamia zikitotoa utalalama tena.
 
Ni vema umekiri kuwa ZIMEFELI, hayo mambo ya baba usimtumie kwenye mifano ya hovyo. Inategemea pia ulimshauri nini kabla.
🤣 🤣 🤣 biashara ya ndege ni pasua kichwa sana. Inahitaji akili nyingi kuiendesha
 
Baba mjinga ni hasara kwa familia na jamii nzima , ila baba mwerevu n faida kwa familia na wale wanaomzunguka ..

Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
 
Umehama hoja sasa unapondwa wakina mama kuwa wakina mama ni wajinga, una akili kweli wewe na ukongwe wako humu lakini akili yako haikui utoto mwingi,

Huna hoja kaa kimya sio kuanza na mifano ambayo ina mdhalilisha mama kama mama ambaye pia hata mama yako aliekuzaa,

Huyo huyo mama unae mdharaua ndiye aliekubeba wewe kwa miezi 9 tumboni, aliekulisha na kukubadilidha nepi usiku na mchana, leo umekua unamuona mpuzi, mjinga, unajichumia laana kwa kuwaita wakina mama wajinga na kwenda zaidi mitoto ya mama ni mijinga,

Ndivyo ulivyo lakini
Najuta kupoteza muda wangu kujibizana na toto la mama

Usihangaike kunijibu maana sitaona kwakuwa nshakuongeza kwenye ignore list yangu...

Toto la mama wahed
 
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Ndege hazina faida mkuu, hatuwezi kukejeli maendeleo kwa maana halisi ya maendeleo lakini hatuwezi kuunga mkono miradi tunayojua wazi itatutia hasara.
Baba yako akianzisha biashara ya barafu Makete utamuunga mkono?
 
Hazikua ndege za mtu bali za nchi........inashangaza kuuliza maswali ya kejeli
 
Najuta kupoteza muda wangu kujibizana na toto la mama

Usihangaike kunijibu maana sitaona kwakuwa nshakuongeza kwenye ignore list yangu...

Toto la mama wahed
We kweli una akili timamu? , eti nakuweka kwenye ignore list wewe ni nani jinga kweli, who cares nanufaika na nini? unataka umaarufu wa kipuuzi usio na kichwa wala na mguu utafikiri unapata gawio toka jf, we kweli unaezeeka vibaya,
 
Bado hatujaferi ndo tunamka saivi, saivi acha tupaki mambo yakikaa sawa duniani tutaanza safari hadi kwa trumpo saivi.

Mashine bado mpyaa zipo zimepaki tayari kwa kazi

Kupaki Kwa ndege (aeroplane) sio sawa na kupaki baiskeli..tuhesabu masaa kutakuwa na vipuri vya kubadili hata kama haijawa hewani,haijafanya kazi yoyote
 
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Nilifurahi sana serikali ilipofufua shirika hili, hata kama linaenda kwa hasara, tuwe na shirika letu
 
Mawe baba yake nani?

Na baba si mwanadamu au ni nani?

Baba?

Who is baba wewe?

Baba hakoseagi?

Eti baba yako akifeli,maana asifeli yeye nani?

Ukishakua baba IQ yako ni 300?

Na unakua bora kuliko wanadamu wote?Na Hufanyi kosa?

Anaekosea anasifiwa au anakoselewa regardless?

Yaani kama wanadamu wa hii nchi,tuna reward makosa sababu mtu anaitwa baba?

Je bibi?Babu?Mama?Kaka?etc?Hao si watu ni mawe?

Mawe baba yako wewe binafsi,usipakae watu wote upumbavu unaouona wewe!

Eti Uwekezaji kwa faida ya nani?Mali ni ya serikali kama entity,haihusu mwananchi private,ni looting ya wanasiasa kupata mitaji ya kuhonga electorates back.

Go lie to motherfvckers huko...

People know what is government and who is a politician and government wealth ni nini na chanzo chake ni looting kutoka kwa innocent hard working private citizens
Good!
 
Kwa hiyo ndege zipo airport tu zinaatamia kama kuku wa kisasa. Wafanye mpango hata wa kusafirisha nyama ya mbuzi kwenda Dubai
 
Back
Top Bottom