Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Sasa baba yako akishauriwa na watoto kuwa akodishe kwanza idadi chache za hizo mashine za angani kisha akishaona kuwa biashara inalipa basi anaweza kuamua kununua mashine hizo kidogo kidogo kadiri itavyoonekana inafaa, na akikataa ushauri na kuamua kununua hayo mavitu kwa mkupuo watoto mnafanyaje?
Baba atajitetea kuwa hakujua kuwa kuweka mayai ya kuku ktk kikapu kimoja kuna hasara & faida?