Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,620
- 50,893
Kuna maamuzi yanahitaji kufanya kwa namna unavyoona, sio kila mtu anaweza support ideas zako kwa maana kila mmoja anaona tofauti, wengine mithili kama yako mnaogopa risk kuliko kutazamia ukuaji wa mradi, hakuna biashara isiyo na falls and rise, lazima kama mfanyabiashara uwe risk taker.Uko mbali na uhalisia,,,,tunahitaji ndege tena sana,lkn si kwa utaratibu huu wa mtu mmoja kuamua
Shuleni mnasomea course gani zisizo hata na Economics marketing ,financial management, cost account, business mathematics, account maana haya masomo ni msingi katika maisha yetu ya kila siku