Naomba data kwamba malaria imetokomezwa. Source isiwe Humphrey Polepole Wala Paul Makonda a.k.a Mkuu DAUDI BASHITEKama ilivyo kosa matumizi Quinine baada ya ugonjwa wa malaria kutokomezwa na serikali ya awamu ya 5 na ndivyo wana ufipa mmekosa kabisa muelekeo, hamjitambui kabisa na hamjui vipawa mbele vyenu kwenye huu uchaguzi ni vitu gani. Wewe endelea kutafuta wagonjwa wa Malaria ili waitumie hiyo Quinine wakati wadudu wanaosababisha Malaria hawapo
Uko mbali na uhalisia, tunahitaji ndege tena sana,lkn si kwa utaratibu huu wa mtu mmoja kuamua
Usichanganye mambo boss,walioweka taratibu za manunuzi walijua iko siku atatokea mjinga mmoja afanye yake,hata lugola yalimfika kwa kutofuata kanuni
Sijui kama wanatambua corona imeleta athari kubwa sana, hasa kwenye sekta ya utalii na vivyo hivyo usafiri wa anga, watu wanasahau haraka sana, na kupandisha uzi wa namna hii
Corona imeanza juzi hebu tupe faida ya ndege zetu kuanzia 2016 hadi 2019 kabla ya corona.
sasa wewe inaonekana unafurahia pale matatizo yanakumba mipango ya taifa!!! sasa hiyo ni tabia ya kihaini, kiuasi, na kizandikiTulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.
Sisi wachache kina Quinine, barafu, kina Zitto tuliwatahadharisha mapema, tuliwaambia MATAGA biashara ya ndege ni ngumu sana inahitaji back up kubwa ya Serikali hatukueleweka, OK, sasa midege haina route za nje imepaki tu airport mingine ikiishia kuzunguka Kibondo - Ngara kwa hasara, tumebaki kuzindua Rwandair ikibeba mizigo ya samaki Mwanza kupeleka Ulaya.
MATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni.
imelala emirate sembuse ATCL mbele ya corona.
Kwani pia sisi sote tuna magari kuna wengine wanayo wengine hawana,Sema kwa faida ya wachache,ni lini masikini anayehangaikia mlo mmoja kwa siku atapanda ndege?hata hesabu za manunuzi yake zimefichwa au we unazo?
Na comment hii ifutwe.Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Imeishia apoTulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.
Sisi wachache kina Quinine, barafu, kina Zitto tuliwatahadharisha mapema, tuliwaambia MATAGA biashara ya ndege ni ngumu sana inahitaji back up kubwa ya Serikali hatukueleweka, OK, sasa midege haina route za nje imepaki tu airport mingine ikiishia kuzunguka Kibondo - Ngara kwa hasara, tumebaki kuzindua Rwandair ikibeba mizigo ya samaki Mwanza kupeleka Ulaya.
MATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni.
faida ya watanzania wote ni pale bei itakapokuwa nusu au robo tatu ya mashirik mengine.Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu.
Tunasubiri mzigo mpya uingieMATAGA tupeni mrejesho, Msemaji Mkuu wa Serikali lini tena tuangalie mawinguni
Hiii biashara ilishafeli ni suala LA muda tuuu!! Ndio maana hata CAG haruhusiwi kugusa huko ni aibuTulikuwa hatulali kila kukicha kesho angalieni mawinguni, Serikali nzima ilikuwa inakesha airport kusubiri Bombardia, kila hotuba hata iwe kanisani lazima izungumzie ununuzi wa ndege, faida ya ndege, na majigambo kede kede, zile ahadi za kuifanya Dar hub of Afrika zimeishia wapi.