Ni kama umetokwa na povu sana,
Unataka povu atokwe nani?Kokoto?Miti?
Povu tunatokwa sisi wanadamu,and I'm doing exactly a human being is supposed to do!
Unaweza kujiona mjuaji kumbe ni mtupu waulize wenzako wanakuonaje ndiyo utajijua wewe ni mpuuzi kiasi gani
Nimejiona mjuaji?Unataka nijione sio mjuaji sababu wewe unataka?
Mimi mjuaji haswa...go jump into the ocean basi!
Wewe unayoijua serikali umeisaidia nini?
Nimesaidia nini na kwa nani?Binadamu nimekuja mwenyewe,sipo responsible for anybody,na yeyote hayupo responsible for me!
Kila mtu afanye yake!
Eti nimesaidia nini?Sipo hapa duniani kumsaidia yeyote,nipo hapa duniani ku-survive against anybody including you,bibi yako or anybody,and thats exactly my only duty!
Misaada peleka huko kwa macommunists mapumbavu!
Baba katika familia ndiyo muhimili lakini sio kila mtu anaweza kuwa baba sio kama wewe, kuwa baba inakuchukua kuwa na mambo mengi na yenye faidi kwa wengi ndani ya familia
Baba wa familia ni kichwa sio mpumbavu...Akiwa mumbavu anakua sio kichwa,full stop.
Na one another thing,Mawe sio baba wa yeyote else,ni baba wa familia yake yeye huko kwake,sisi tumempa kazi,analogy ya baba ni kama unatugeuza sisi watoto na ni so patronizing...fvkc you with your analogy!
Hoja zingine ulizotoa za kujifaraguza sijibu ni za kisenge...
Another thing,personally I dont care what you think about anything and don't even read what I write!