Mbuzi wa mtaani

Mbuzi wa mtaani

Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??

Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....

Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Pale mbagara mtongani ikitokea ajari mbuzi wanaenda kuangaria kilichotokea.walembuzi siombuzi sijui umenielewa 🤣🤣
 
Haina uhalisia kusema hawana mtu sidhani isipokuwa tu wamiliki ni vile wanajua hakuna wanyama wakali wa kuwawinda zaidi huku mjini adui mkuu ni binadamu, mmiliki anakuwa anajua wanapolala
Mara watu wanabomoa mazizi kuiba mbuzi inakuaje hao walio wazi hawaibiwi
 
Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??

Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu kula hawa mbuzi,isije kuwa ni survival mechanism yao mjini wakaambiana ili watoboe mjini basi watunge stori kuwa wao ni mbuzi wa dawa ukijaribu kuwala unakufa.....

Nimeandika hivi baada ya kukutana na kundi la mbuzi hapa ilala wana jeuri balaa wananenepeana tu hawaogopi Chochote!!
Kaa ukijua sio nyama zote tunazonunua ni za halali.
Hao mbuzi ukipata nafasi ya kuiba iba nenda kauze bro
 
Sasa unamuibia nani na hawana mwenyewe,we Sema tu unachukua..... tatizo vitisho vingi eti mbuzi wa dawa!!
 
Huwezi kuwakuta shinyanga au Bariadi hao, fisi wanapita nao hata kama wa ndagu
 
Back
Top Bottom