Sina ushuhuda ila kuna mtu aliniambia pale Mwananyamala Koma Koma kuna mlevi mmoja alichinja mbuzi wa kitaa baada ya kushikwa na njaa na kuwa na hamu ya nyama choma. Wanasema jamaa aliachishwa kazi kwani alikuwa anashindwa kwenda kazini kwa sababu kila akitoka kwenda kazini alikuwa anajinyea barabara nzima anafuatwa na nzi, akirudi nyumbani anakuwa katulia. Akitoka tu kwenda nje ya nyumba yake anaanza tena kujinyea hovyo, jamaa aliishi mle ndani mwa nyumba yake mwaka mzima bila kutoka nje.
Mwisho akafa au alipona?