Ingekuwa hapa bongo basi wa vibaka wa kibongo washampega loba la nguvu hicho kibibi maana siku hizi wamezidi hadi miskitini wanapora vispika na makanisani hujifanya kutoa sadaka kwenye kapu na hapo hapo anachomoa noti ya elifu kumi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.