Mbuzi azaa binaadamu Singida

Mbuzi azaa binaadamu Singida

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
 
maajabu ya dunia tz yamejaa.inamaana kuna kidume kimepiga nanihii ya mbuzi
 
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi za ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hizo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii

ndani ya jimbo la mwigulu tutasikia mengi mpaka 2015
 
Hii itakuwa habari ya ulozi tu...idadi ya chromosomes za mbuzi na binadamu ni tofauti...
 
Duh,hayo kweli ni maajabu manake kibaiologia,sperms za mwanadamu na mayai ya huyo mbuzi jike ni not compartible
 
Sio kweli na haiwezi kuwa kweli. Tunaposema binaadamu anaakili tunamaanisha aweze kupambanua vijambo kama hiovi sio kuvaa na kuvua nguo tu.
 
hapana msielekeze lawama eti watu wametembea na huyo mbuzi,kibaolojia binadamu na mbuzi ni "species" tofauti hawawezi kuzaa,hiyo ni miujiza ya kibaolojia tu
 
Nina maana siom kila unachokisikia uhakikishiwe ukweli wake kuna vitu akili yako pekee inatosha kuviamua uwezekano wake kutokea UMENIELEWA?
 
Kwa vile taarifa hazíjitoshelezi basi mjadala wake ni dhaifu.
 
Mbuzi Mzee, njoo huku utoe maelezo, I'm totally confused:confused2:
 
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii

Kwa Mwigulu huko.
 
Mbuzi Mzee, njoo huku utoe maelezo, I'm totally confused:confused2:
830970_268999_10151104207128409_1778608193_n_jpg453a5206913b773784122e28f566077f
 
maajabu ya dunia tz yamejaa.inamaana kuna kidume kimepiga nanihii ya mbuzi
they are different species, biologically haiwezekani kutungisha mimba, otherwise yai la mbuzi lime -undergo mutation na kuweza kuadapt conditions za yai la binadamu. Uchawi tu wa watanzania, kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom